Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
demu wetu tushazoea kujipigia mjiandae tena kumfurumusha mzee yule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha wa Simba ni hatari timu yake ikiwa haina mpira kuliko ikiwa na mpira! Hili imechukua muda wachezaji kumuelewa na sasa wameingia kwenye mfumo. [emoji817][emoji818]Wakuu,
Kipute cha Kariakoo deby kimekaribia, mimi kama shabiki wa Lunyasi nina maoni yafuatayo kuelekea siku hiyo.
1) Ubora wa Yanga ni Nabi, Nabi amefanikiwa kusumbua makocha wengi kimbinu sababu akili zao huzama kwenye wachezaji hatari kama Mayele kuliko akili ya Nabi. Kwa muda mrefu Nabi anamaliza game kipindi cha pili na makocha wameshindwa kudhibiti hilo.
2) Ubora wa viungo wa Yanga, sehemu ngumu na muhimu Yanga ni kiungo. Plan zote zinaanzia hapo na kufia hapo. Lazima uwe na viungo wenye intensity ya kutosha dakika zote ikibidi sub ili kulinda utimamu wa timu.
3) Fiston Mayele ni mchezaji hatari akiachwa peke yake maeneo hatari. Huyu akiwa maeneo mengine apewe uhuru lakini akiwa kwenye 18 lazima awe na destructive player kama Putin. Akiwa peke yake mpira ukamfikia akiwa kwenye hatari mtaufuata nyavuni.
4) Kama nilivyosema Nabi game ngumu anashinda kipindi cha pili. Sub zake na mabadiliko ya positions uwanjani kipindi cha pili lazima haraka sana yafanyiwe home work na ku switch plan. Makocha wengi wa bongo wakiona 1st half wana droo au wanaongoza wanafikiri wamekamata game kumbe kipindi cha pili Nabi ndio anacheza baada ya kujua strength and weakness za mpinzani.
Hitimisho:
Kocha Robertinho ameifunga Yanga mara mbili na amefanikiwa kwa aina ya soka alilokuwa akitumia huko. Mara nyingi anacheza direct football na double striker! Huu mfumo ni complicated kueleweka kwa mashabiki hasa wa Simba!
Kocha wa Simba ni hatari timu yake ikiwa haina mpira kuliko ikiwa na mpira! Hili imechukua muda wachezaji kumuelewa na sasa wameingia kwenye mfumo.
Kama wachezaji wakifata maelekezo yake vizuri na pia kama kocha mwenyewe akimzidi ujanja Nabi hasa kipindi cha pili basi Simba atashinda goli nyingi.
#nguvumoja
Labda mrudi kinyume nyume na muwashe moto mkubwa pale kwenye pitchSimba 3 Yanga 1 kama Simba akianza kufunga ila wakianza kufunga Yanga itaisha kwa droo.
Kweli kabsaMnapata tabu mlivyo kamia mechi halafu Yanga Kimya wanajua mwembe ni wao so haina haja ya kelele ni kujichumia tu.
Acha kuzungumzia miaka ya gizani huko........Kinacho amua Mechi za Simba na Yanga hakijulikani.
Simba amewahi kuwa na Quality players kagere, Miquesson ,Lwanga lakini kuifunga yanga ilikuwa ngumu mno.
Nimefundushwa kuwa na AKIBA ya Maneno.
YANGA WASIRUKE UKUTA
Yanga imeshinda kipindi Cha pili game 1 tu. Ile ya NGAO YA JAMII nyingine ni ipi unayoikumbuka wewe?Kweli Yanga walikuwa wakitufunga kipindi cha pili kwasababu Mgunda alikuwa mzito kusoma mbinu za Nabi aliyeonekana mara nyingi kubadilika kipindi cha pili.
Ila kwa Robertinho nina imani na ushindi Jumapili.
Kwani kwenye michuano yooote SIMBA NA YANGA NANI ANA MAGOLI MENGI?...nani ameweza kushinda MAGOLI Mengi kwenye mechi moja?...why ishindikne Kwa yanga?..ww ndo unajitia upofu bro, unaizungumzia timu iliyo robo klabu bingwa kama unaizungumzia Coast union!!!Huu nao uchambuzi? Kazi IPO, badala ya kugombea Simba angalau iambulie share unaongelea habari za Yanga hii kufungwa goli nyingi na Simba?
Hakuna cha kujadili hapa, maana umejitia upofu na umeikataa reality.
Nabi ni mchawi kipindi cha pili. Ukiweza kumchanganya kipindi cha pili huchanganyikiwa na kusubiri kudra. Mara nyingi sub za kipindi cha pili ndio huamua game.Kweli Yanga walikuwa wakitufunga kipindi cha pili kwasababu Mgunda alikuwa mzito kusoma mbinu za Nabi aliyeonekana mara nyingi kubadilika kipindi cha pili.
Ila kwa Robertinho nina imani na ushindi Jumapili.
Sasa timu yenyewe ndio inaongea hivi.Kwani kwenye michuano yooote SIMBA NA YANGA NANI ANA MAGOLI MENGI?...nani ameweza kushinda MAGOLI Mengi kwenye mechi moja?...why ishindikne Kwa yanga?..ww ndo unajitia upofu bro, unaizungumzia timu iliyo robo klabu bingwa kama unaizungumzia Coast union!!!
footballWakuu,
Kipute cha Kariakoo deby kimekaribia, mimi kama shabiki wa Lunyasi nina maoni yafuatayo kuelekea siku hiyo.
1) Ubora wa Yanga ni Nabi, Nabi amefanikiwa kusumbua makocha wengi kimbinu sababu akili zao huzama kwenye wachezaji hatari kama Mayele kuliko akili ya Nabi. Kwa muda mrefu Nabi anamaliza game kipindi cha pili na makocha wameshindwa kudhibiti hilo.
2) Ubora wa viungo wa Yanga, sehemu ngumu na muhimu Yanga ni kiungo. Plan zote zinaanzia hapo na kufia hapo. Lazima uwe na viungo wenye intensity ya kutosha dakika zote ikibidi sub ili kulinda utimamu wa timu.
3) Fiston Mayele ni mchezaji hatari akiachwa peke yake maeneo hatari. Huyu akiwa maeneo mengine apewe uhuru lakini akiwa kwenye 18 lazima awe na destructive player kama Putin. Akiwa peke yake mpira ukamfikia akiwa kwenye hatari mtaufuata nyavuni.
4) Kama nilivyosema Nabi game ngumu anashinda kipindi cha pili. Sub zake na mabadiliko ya positions uwanjani kipindi cha pili lazima haraka sana yafanyiwe home work na ku switch plan. Makocha wengi wa bongo wakiona 1st half wana droo au wanaongoza wanafikiri wamekamata game kumbe kipindi cha pili Nabi ndio anacheza baada ya kujua strength and weakness za mpinzani.
Hitimisho:
Kocha Robertinho ameifunga Yanga mara mbili na amefanikiwa kwa aina ya soka alilokuwa akitumia huko. Mara nyingi anacheza direct football na double striker! Huu mfumo ni complicated kueleweka kwa mashabiki hasa wa Simba!
Kocha wa Simba ni hatari timu yake ikiwa haina mpira kuliko ikiwa na mpira! Hili imechukua muda wachezaji kumuelewa na sasa wameingia kwenye mfumo.
Kama wachezaji wakifata maelekezo yake vizuri na pia kama kocha mwenyewe akimzidi ujanja Nabi hasa kipindi cha pili basi Simba atashinda goli nyingi.
#nguvumoja
nani atamwacha peke yake?3) Fiston Mayele ni mchezaji hatari akiachwa peke yake maeneo hatari.
Magoli mengi anafunga akiwa free. Mabeki wetu wengi wa ligi yetu hawajui kukaba man to man kama enzi za akina Salum Kabunda au hata Boniphace Pawasa hivi karibuni. Deadly striker anapewa pasi na inamfikia ndani ya 18 alafu ndio una intercept? Lazima akuue! Hiyo attention inabidi viungo wawasaidie mabeki wa kati kum distract kabla pasi haijafika hasa kwenye 18.nani atamwacha peke yake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umepoteaanaaa kabisaaaa, lol poleeeeedemu wetu tushazoea kujipigia mjiandae tena kumfurumusha mzee yule