cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu semaa tena tukusikieee.Mnapata tabu mlivyo kamia mechi halafu Yanga Kimya wanajua mwembe ni wao so haina haja ya kelele ni kujichumia tu.