Kuelekea derby ya Kariakoo, Tahadhari muhimu kwa Simba!

Kocha wa Simba ni hatari timu yake ikiwa haina mpira kuliko ikiwa na mpira! Hili imechukua muda wachezaji kumuelewa na sasa wameingia kwenye mfumo. [emoji817][emoji818]
 
Kinacho amua Mechi za Simba na Yanga hakijulikani.

Simba amewahi kuwa na Quality players kagere, Miquesson ,Lwanga lakini kuifunga yanga ilikuwa ngumu mno.

Nimefundushwa kuwa na AKIBA ya Maneno.

YANGA WASIRUKE UKUTA
 
Kweli Yanga walikuwa wakitufunga kipindi cha pili kwasababu Mgunda alikuwa mzito kusoma mbinu za Nabi aliyeonekana mara nyingi kubadilika kipindi cha pili.

Ila kwa Robertinho nina imani na ushindi Jumapili.
 
Wakumbushe tu kwamba kila mechi Yanga tunafunga goli,sisi tunajua goli lipo ila hatujui tutashinda mangapi....... uhakika wa goli si tunao maana ni utamaduni wetu
 
Kinacho amua Mechi za Simba na Yanga hakijulikani.

Simba amewahi kuwa na Quality players kagere, Miquesson ,Lwanga lakini kuifunga yanga ilikuwa ngumu mno.

Nimefundushwa kuwa na AKIBA ya Maneno.

YANGA WASIRUKE UKUTA
Acha kuzungumzia miaka ya gizani huko........
 
Mwaka huu kazi ipooo.....tusubiri siku 3 zimebakiaa
 
Kweli Yanga walikuwa wakitufunga kipindi cha pili kwasababu Mgunda alikuwa mzito kusoma mbinu za Nabi aliyeonekana mara nyingi kubadilika kipindi cha pili.

Ila kwa Robertinho nina imani na ushindi Jumapili.
Yanga imeshinda kipindi Cha pili game 1 tu. Ile ya NGAO YA JAMII nyingine ni ipi unayoikumbuka wewe?
 
Huu nao uchambuzi? Kazi IPO, badala ya kugombea Simba angalau iambulie share unaongelea habari za Yanga hii kufungwa goli nyingi na Simba?

Hakuna cha kujadili hapa, maana umejitia upofu na umeikataa reality.
Kwani kwenye michuano yooote SIMBA NA YANGA NANI ANA MAGOLI MENGI?...nani ameweza kushinda MAGOLI Mengi kwenye mechi moja?...why ishindikne Kwa yanga?..ww ndo unajitia upofu bro, unaizungumzia timu iliyo robo klabu bingwa kama unaizungumzia Coast union!!!
 
Kweli Yanga walikuwa wakitufunga kipindi cha pili kwasababu Mgunda alikuwa mzito kusoma mbinu za Nabi aliyeonekana mara nyingi kubadilika kipindi cha pili.

Ila kwa Robertinho nina imani na ushindi Jumapili.
Nabi ni mchawi kipindi cha pili. Ukiweza kumchanganya kipindi cha pili huchanganyikiwa na kusubiri kudra. Mara nyingi sub za kipindi cha pili ndio huamua game.

Nabi atakuwa amefanya home work kubwa namna ya kuidhibiti Simba ikiwa haina mpira. Magoli ya hivi karibuni Simba imekuwa ikifunga kwa uharaka wanapopokonya mpira!

Shape ya Simba bila mpira ndio huamua counter! Refer goli la Baleke game ya Raja.
 
Sasa timu yenyewe ndio inaongea hivi.
 
Hii game Simba anashinda japo kuna uwezekano wakulazimishwa iwe dro, nimemaliza hivyo.
 
football
 
nani atamwacha peke yake?
Magoli mengi anafunga akiwa free. Mabeki wetu wengi wa ligi yetu hawajui kukaba man to man kama enzi za akina Salum Kabunda au hata Boniphace Pawasa hivi karibuni. Deadly striker anapewa pasi na inamfikia ndani ya 18 alafu ndio una intercept? Lazima akuue! Hiyo attention inabidi viungo wawasaidie mabeki wa kati kum distract kabla pasi haijafika hasa kwenye 18.
 
Nafikiri mmeelewa sasa Robertinho ni kocha wa aina gani! Alijua Nabi hafai second half akamaliza game 1st half! Ilikuwa game ya benchi la ufundi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…