Kuelekea derby ya Kariakoo, Tahadhari muhimu kwa Simba!

Mnapata tabu mlivyo kamia mechi halafu Yanga Kimya wanajua mwembe ni wao so haina haja ya kelele ni kujichumia tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu semaa tena tukusikieee.
 
Kweli Yanga walikuwa wakitufunga kipindi cha pili kwasababu Mgunda alikuwa mzito kusoma mbinu za Nabi aliyeonekana mara nyingi kubadilika kipindi cha pili.

Ila kwa Robertinho nina imani na ushindi Jumapili.
Ndiwooooooooh
 
Wakumbushe tu kwamba kila mechi Yanga tunafunga goli,sisi tunajua goli lipo ila hatujui tutashinda mangapi....... uhakika wa goli si tunao maana ni utamaduni wetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mazuri vileeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…