Kuelekea Derby: Yanga yalaumiwa na Bodi ya Ligi

Yanga wanakuwa poa ugenini, pressure kwa wachezaji inapungua.wanafanya vizuri .haina haja kwa washabiki wa Yanga kwenda kwa wingi kuwapunguzia pressure wachezaji wetu
 
Si waipromote wao sasa kama bodi ya ligi kama wanaona kuna haja ya kufanya hivyo

Derby lazima watu watajaa

ila hapo kwenye mgawanyo wa mapato kwa timu mwenyeji ndio mzozo unapoanzia

Yanga anaona akipiga promo kubwa [ni hela] halafu in return kwenye gate collection hupati kitu, so no need
 

Viongozi wa TFF sometimes wanachekesha
 
Ili ufanye hivi jitahidi uwe na uwanja wako au uwe na uhakika siti zako mashabiki wako watazimaliza
 
Ili ufanye hivi jitahidi uwe na uwanja wako au uwe na uhakika siti zako mashabiki wako watazimaliza
Unataka kuniambia Simba au Yanga hawawezi kujaza uwanja wa Taifa unaoweza kuvhukua mashabiki 60000 tu. Bado wanajiita timu kongwe. Tatizo kubwa nashabiki wengi wa bongo ni wa mdomoni. Hawaemwezi kusapoti timu zao bali wanzitumia kubishamia keenyr vijiwe kama hivi.
Halafu utadikua watu wanalaalumu usajili mbovu wakati hata kutoa 50000 kwa msimu hawataki. Pathetic!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…