Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shikamoo ankoWhy do you want to know my age? Well I am old enough to be your father, burger!
Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imesema haipendezwi na tabia ya timu mgeni kwenye Mchezo wa Kariakoo Derby kutoifanyia promo mechi ya derby na kuachia jukumu hilo kwa timu mwenyeji pekee.
Akizungumza na kituo cha Clouds fm radio msemaji wa bodi ya ligi, Karim Boimanda amesema mchezo huo si tu kwa ajili ya mapato ni Mchezo mkubwa Nchini na Afrika mashabiki hivyo vilabu vyote viwili (2) vinapaswa kuipromoti mechi hiyo.
"Hii inatokana na kanuni ya kuwa timu mwenyeji ndio atapata mapato yote ndio maana timu mgeni hafanyi promo, bodi ya ligi hatufurahishwi na jambo hilo tutalifanyia kazi suala hilo. Mechi hii sio tu kwa ajili ya mapato ni mechi ya hadhi ya Nchi" amesema hayo Karim Boimanda.
Ili ufanye hivi jitahidi uwe na uwanja wako au uwe na uhakika siti zako mashabiki wako watazimalizaKwa wenzetu mwenyeji huwa anatoa idadi ya ticket, say 5000, kwa mashaibiki wa timu ngeni zinazobaki ni za wenyeji. Hapa ikoje? The last time nilingia uwanja wa taifa ilikuwa 1981 na sikupenda kabisa mipango yao. Ilkuwa mechi ya Yanga vs Simba. Naona bado ubabaishaji upo zaidi ya miaka 40 after. Pathetic.
Unataka kuniambia Simba au Yanga hawawezi kujaza uwanja wa Taifa unaoweza kuvhukua mashabiki 60000 tu. Bado wanajiita timu kongwe. Tatizo kubwa nashabiki wengi wa bongo ni wa mdomoni. Hawaemwezi kusapoti timu zao bali wanzitumia kubishamia keenyr vijiwe kama hivi.Ili ufanye hivi jitahidi uwe na uwanja wako au uwe na uhakika siti zako mashabiki wako watazimaliza
Imepoa maana Kila mtu anajua Thimba itaendeleza kufa kiume!Derby ya tar 5 haina hata amsha amsha.
Yaan imepoaa balaaa.