Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,466
- 2,285
Relax ! Everything Iko under Control !!.Hata Tesha alikuwa Captain, lakini hakuonekana alipo Oct29 🤔
Msiwachuuze GenZ kwamba JW mtawalinda while not..
Spot on! Hatutegemei msaada wa jeshi bali nguvu yetu ya umma. Lazima nitoke kuandamana hiyo 9/12/2025Hata Tesha alikuwa Captain, lakini hakuonekana alipo Oct29 🤔
Msiwachuuze GenZ kwamba JW mtawalinda while not..
Hatufanyi makosa hayo tena. Jeshi haliaminikiBro siku hiyo watu wawe na ujumbe wao na wasifanye uharibifu tuu. Hakutakuwa na risasi itarushwa hata moja kukiwa na ustaarabu wa kuheshimu mali binafsi na za umma.
MY TAKE: Twendeni kwa wingi barabarani mpaka huyu kenge akimbilie kwa wajombaze Oman
Kaa ndani hiyo D9 ulee watoto wako,hii shughuli inahitaji wanaume.Hata Tesha alikuwa Captain, lakini hakuonekana alipo Oct29 🤔
Msiwachuuze GenZ kwamba JW mtawalinda while not..
All the best 😁Spot on! Hatutegemei msaada wa jeshi bali nguvu yetu ya umma. Lazima nitoke kuandamana hiyo 9/12/2025
Hao wasaliti wasizingatiwe kabisa kwenye Jambo lao Gen-Z.Hata Tesha alikuwa Captain, lakini hakuonekana alipo Oct29 🤔
Msiwachuuze GenZ kwamba JW mtawalinda while not..
Risasi zikirushwa watafanya nini?Bro siku hiyo watu wawe na ujumbe wao na wasifanye uharibifu tuu. Hakutakuwa na risasi itarushwa hata moja kukiwa na ustaarabu wa kuheshimu mali binafsi na za umma.
MY TAKE: Twendeni kwa wingi barabarani mpaka huyu kenge akimbilie kwa wajombaze Oman
Na ambao hawakuandamana na wakafa wakiwa nyumbani? Baki nyumbani kama ni kufa utafia huko huko uvunguni kwako.Hata Tesha alikuwa Captain, lakini hakuonekana alipo Oct29 🤔
Msiwachuuze GenZ kwamba JW mtawalinda while not..
Sisapoti vurugu wala mauaji ila ni muhimu san hoja za wananchi zisikilizwe na kufanyiwa kazi exactly!! Dunia inaingia kweny revolution ya kifikra na kiutambuzi!! Tusiishi as 1947!!!Bro siku hiyo watu wawe na ujumbe wao na wasifanye uharibifu tuu. Hakutakuwa na risasi itarushwa hata moja kukiwa na ustaarabu wa kuheshimu mali binafsi na za umma.
MY TAKE: Twendeni kwa wingi barabarani mpaka huyu kenge akimbilie kwa wajombaze Oman
Porojo za habari. Umezipata wapi za kapteniBro siku hiyo watu wawe na ujumbe wao na wasifanye uharibifu tuu. Hakutakuwa na risasi itarushwa hata moja kukiwa na ustaarabu wa kuheshimu mali binafsi na za umma.
MY TAKE: Twendeni kwa wingi barabarani mpaka huyu kenge akimbilie kwa wajombaze Oman