wakali ndondo
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 583
- 908
Mkuu si mnasema wamefunhuwa makambini afu sii wakuwaamin awaBro siku hiyo watu wawe na ujumbe wao na wasifanye uharibifu tuu. Hakutakuwa na risasi itarushwa hata moja kukiwa na ustaarabu wa kuheshimu mali binafsi na za umma.
MY TAKE: Twendeni kwa wingi barabarani mpaka huyu kenge akimbilie kwa wajombaze Oman