BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Na ambao hawakuandamana na wakafa wakiwa nyumbani? Baki nyumbani kama ni kufa utafia huko huko uvunguni kwako.
hili ni kosa lili fanyika first phase, wanajeshi wali wasisitiza watu watoke nje na kushangilia nao.Risasi zikirushwa watafanya nini?
Yani salama ni bora kuwepo barabarani mana kubaki nyumbani wanakuja kutubaka..D9 watu wote kwa usalama wanawake wote tuingie barabarani kuliko kuja kubakawa na Mafele atupe maukimwi yake.Hapana kwakweli!Mnatuona Gez Z Manyumbu Eeeh
Tahadhari zote zitazingatiwa hyo siku.
Na hata ambao hawataandamana, Lazima mchukue tahadhari kuhakikidha mnakua salama zidi ya JanjaWeed(Hawa Janja Weed sio polisi ni Mamluki)
Maana wakiwashindwa waandamanaji wataingia mtaani kubaka na kuua Raia
Kula πYani salama ni bora kuwepo barabarani mana kubaki nyumbani wanakuja kutubaka..D9 watu wote kwa usalama tuingiale barabarani kuliko kuja kubakalwa na Mafele arltupe maukimwi yake.Hapana kwakweli!
Gen Z Mliopo DAR Mtembeleeni mafwele kabla ya 9decYani salama ni bora kuwepo barabarani mana kubaki nyumbani wanakuja kutubaka..D9 watu wote kwa usalama wanawake wote tuingie barabarani kuliko kuja kubakawa na Mafele atupe maukimwi yake.Hapana kwakweli!
Unatokaje na haupo nchini mkuuSpot on! Hatutegemei msaada wa jeshi bali nguvu yetu ya umma. Lazima nitoke kuandamana hiyo 9/12/2025
Hilo hajalitolea ufafanuzi. Ila ni kuwa wananchi na waandamanaji tusianzishe vurugu kwa kuharibu chochote isipokuwa kufikisha azma yetu.Risasi zikirushwa watafanya nini?
Wanajeshi ni machoko tu.Bro siku hiyo watu wawe na ujumbe wao na wasifanye uharibifu tuu. Hakutakuwa na risasi itarushwa hata moja kukiwa na ustaarabu wa kuheshimu mali binafsi na za umma.
MY TAKE: Twendeni kwa wingi barabarani mpaka huyu kenge akimbilie kwa wajombaze Oman
We Mjinga, hakuna Maandamano ya amani tena. Waandamanaji ni lazima wawe na silaha za kujihami dhidi ya Majeshi ya Wanamtandao. Disemba 9 itakuwa ni PIGA NIKUPIGE.Bro siku hiyo watu wawe na ujumbe wao na wasifanye uharibifu tuu. Hakutakuwa na risasi itarushwa hata moja kukiwa na ustaarabu wa kuheshimu mali binafsi na za umma.
MY TAKE: Twendeni kwa wingi barabarani mpaka huyu kenge akimbilie kwa wajombaze Oman
ππππ€π€£π€£Yani salama ni bora kuwepo barabarani mana kubaki nyumbani wanakuja kutubaka..D9 watu wote kwa usalama wanawake wote tuingie barabarani kuliko kuja kubakawa na Mafele atupe maukimwi yake.Hapana kwakweli!
Kapteni ni mtu mdogo jeshini ni wa kiwango cha kusimamia kombania usijefanganya vijana wa watu wauliwe kwenye msafara wa manba na kenge waploBro siku hiyo watu wawe na ujumbe wao na wasifanye uharibifu tuu. Hakutakuwa na risasi itarushwa hata moja kukiwa na ustaarabu wa kuheshimu mali binafsi na za umma.
MY TAKE: Twendeni kwa wingi barabarani mpaka huyu kenge akimbilie kwa wajombaze Oman
Hizo silaha za kujihami mbona mnapeana wenyewe tu huko hata sisi tunazihitaji wakuuWe Mjinga, hakuna Maandamano ya amani tena. Waandamanaji ni lazima wawe na silaha za kujihami dhidi ya Majeshi ya Wanamtandao. Disemba 9 itakuwa ni PIGA NIKUPIGE.
Hao wanajeshi kulikuwa hata hakuna umuhimu wa kuwataja.
Hilo hajalitolea ufafanuzi. Ila ni kuwa wananchi na waandamanaji tusianzishe vurugu kwa kuharibu chochote isipokuwa kufikisha azma yetu.
Tatizo kubwa ninaloliona ni hawa polisi felia hawa wakiamua kusema watawanye waandamanaji kwa staili yao ndo maafa ya pili yataokea. Ila hatuna budi kutoka bila kuhofia hilo
Mkuu na mimi naomba nianze kuwalaza mapolisi mtaani. Nawafahamu kadhaa ntaanza nao. Miongoni mwao ni ndugu zangu kabisa na ndo nawaanzia kabla ya nisio na vinasaba nao.We Mjinga, hakuna Maandamano ya amani tena. Waandamanaji ni lazima wawe na silaha za kujihami dhidi ya Majeshi ya Wanamtandao. Disemba 9 itakuwa ni PIGA NIKUPIGE.
Usiwe na haraka, muda utaamua mambo.Hizo silaha za kujihami mbona mnapeana wenyewe tu huko hata sisi tunazihitaji wakuu
Ata Mange alituambia hivi hivi , mara hii hamtupati ng'oooBro siku hiyo watu wawe na ujumbe wao na wasifanye uharibifu tuu. Hakutakuwa na risasi itarushwa hata moja kukiwa na ustaarabu wa kuheshimu mali binafsi na za umma.
MY TAKE: Twendeni kwa wingi barabarani mpaka huyu kenge akimbilie kwa wajombaze Oman