Kuelekea Desemba 9: Nimeongea na Kapteni wa jeshi na huu ndo uelekeo wao

Mkuu si mnasema wamefunhuwa makambini afu sii wakuwaamin awa
 
Hatuitaji ushauri wao wala msaada wao mbuzi hao, tutajilinda na kujikomboa wenyewe, kifupi sisi ndio tutawapigania wao.
 
Nayataka sana haya maandamano. Ila naona kama hamna organize.. tunaandamana kwenda wapi? Mfano watu wa dsm waelewe wanakwenda wapi. Mbeya nao wajue wanaenda wapi. Arusha. Moshi, mwanza nk
Pili haya maandamano ni ya siku ngapi? Maana wanaweza kutacha tukaandamana na siku ikasha. Ndio yutakuwa tumefanya nini?
Tufanye maandamano yasiyo na kikomo. Ili kuiondoa serekali ambayo si halali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…