Kuelekea Dira Mpya ya Maendeleo 2050: Natamani Tanzania iwe namba 4 kwa uchumi Afrika na kuzipita Algeria, Morocco, Angola, Kenya na Ivory Coast

Boss Kikwete Katuongoza kwenye Great Economy Recession 2007-2009 na hatukudorora ukuaji. Hapo uchumi ulishuka vibaya mno Kidunia kuliko Covid.

I doubt reli is that important mkuu kwenye Uchumi wetu kushinda Barabara zinazo connect nchi na mikoa, so far ni luxury tu.
Uchumi wa Tanzania haukuwahi kudorora chini ya Magufuli, labda kasi(rate) ya ukuaji kwa mwaka ndio ilipungua tu kidogo, kasi ya uchumi kupungua kutoka 7% hadi 5% sio mdororo hasa ukizingatia na hizo changamoto za COVID.

Na pia reli nzuri ni muhimu kuliko hata barabara katika uchumi kwa ufanisi na kupunguza gharama.
 
Achana na haya machawa MAPUMBAVVU tu hakuna chochote positive utakachoyaambia kuhusu serikali ya awamu ya Tano yakakuelewa hata uje solid na examples kiasia gani.... Haya yalishaga amua kumdemonize Magufuli tangu siku yalivyopewa ulaji na Sasa hivi yako bize kumpamba bibi tozo kwa Kila analolifanya.

Sote tunajua ni jinsi gani hayati alivyofanya juhudi kubwa kufufua na kuboresha miundo mbinu iliyokuwa imekufa/kudolola ambayo umeleta chachu kwenye ujuaji wa maendeleo ya kiuchumi...

Sasa haya majizi na machawa yako hapo kumsifia Kikwete ambaye alizoea kufuga mafisadi yaliyokuwa yanakwamisha miradi Mingi sana ya kimaendeleo kupelekea ujuaji hafifu wa kiuchumi... Ovyo sana haya
 
Tanzania imeandaa Dira Mpya ya Maendeleo ya 2050 ambapo utekelezaji wake utaanza rasmi mwaka 2025/26 baada ya kujadiliwa na kupitishwa na Bunge kabla ya Rais kuidhinisha rasmi.

Kwa Sasa Serikali imezindua rasimu na ambapo zoezi la maboresho linaendelea ikiwemo kutoa maoni.

Sasa Kwa wapanga mipango pamoja na kuweka malengo ya kuwa na GDP ya $ 700bln na per Capita income ya $4700 by 2050 napendekeza pia tuweke kigezo Cha kiushindani na Nchi zingine Ili tuwe tunajipima na wengine.

Tunapoanza utekelezaji wa Hiyo Dira Natamani inapofika mwaka huo au kabla ya mwaka huo basi Tanzania iwe ni Kati ya Nchi 5 Zenye Uchumi mkubwa Barani Afrika ambapo tunatakiwa kutoka nafasi ya 10 tuliyoko Sasa Hadi kufikia nafasi ya 4 na kama.tukishindwa basi tuwe nafasi ya 5.

Tanzania tuna sababu na vigezo vyote vya kufikia nafasi ya 4 Kwa kuanzia na Rasilimali asili zilizopo.

Nafahamu Kila Nchi Ina Mali asili lakini Kwa Tanzania tutakuwa na advantage ya idadi kubwa ya watu.

Kwa Sasa Tanzania ni namba 5 kwa Wingi wa watu hapa Afrika na bila shaka tunaendelea kuwa namba 5 miaka Mingi ijayoa Sasa inatakiwa tutumie Wingi wetu kuwa fursa ya soko na Uchumi Ili tukuze Uchumi wa Nchi yetu.

Kama tumeweza kuingia top 10 Kwa nini tushindwe kuwa namba 4?

View attachment 3174529

Hivyo basi by 2050 ni matumaini yangu kwamba Msimamo wa Ligi ya Uchumi Afrika Mwaka 2050 utakuwa kama ifuatavyo.,

1.Nigeria
2.Egypt
3.Ethiopia
4.Tanzania
5.Algeria
6.South Africa
7.DR Congo
8.Morocco
9.Angola
10..Kenya
11.Ivory Coast
12.Uganda.
Mipango sio matumizi issue ni utekelezaji.

Kwa sera na viongozi gani kwanza mlionao wa kuwatimizia hayo?

Kwa aina hii ya viongozi akina Mwigulu Nchemba wasiokuwa na maarifa yoyote Zaid ya kubuni mbinu za kumkandamiza Mwanainchi kupitia matozo yasiokuwa na kichwa Wala miguu, nakuhakikishia hata Angola na Ivory coast hamuwezi kuwapita ng'ooo!!
 
Double check your data mkuu, kuna miaka tuli stagnate kwa growth chini ya 2%
 
Isingekuwa Magu tungekuwa tunawakamata tena hawa.

Mkapa na Kikwete walikua na Stable Economic growth, Mfano Kipindi Cha Kikwete Economic Growth mwaka Mmoja tu kati ya 10 ndio ilikua asilimia 4.5 ila miaka yote ni Asilimia 6 ama 7, Kidunia tulikuwa one of the best, roughly Estimation tungekuwa na Same Growth kama ya Kipindi cha Kikwete sasa hivi Gdp per capita yetu ingekua $1700-1800 na Kenya $1900. Ila sasa hivi tupo $1200.
Si huwa mnasema akili za kuambiwa changanya na zako, Wastani wa ukuaji uchumi wa 7% ni wa kawaida tu, uchumi China na wa nchi nyingi za Asia kama Vietnam, Korea n.k zilizomaliza umasikini kwa kasi ulikuwa unakuwa hadi kwa tarakimu mbili.
 
Tanzania imeandaa Dira Mpya ya Maendeleo ya 2050 ambapo utekelezaji wake utaanza rasmi mwaka 2025/26 baada ya kujadiliwa na kupitishwa na Bunge kabla ya Rais kuidhinisha rasmi.

Kwa Sasa Serikali imezindua rasimu na ambapo zoezi la maboresho linaendelea ikiwemo kutoa maoni.

Sasa Kwa wapanga mipango pamoja na kuweka malengo ya kuwa na GDP ya $ 700bln na per Capita income ya $4700 by 2050 napendekeza pia tuweke kigezo Cha kiushindani na Nchi zingine Ili tuwe tunajipima na wengine.

Tunapoanza utekelezaji wa Hiyo Dira Natamani inapofika mwaka huo au kabla ya mwaka huo basi Tanzania iwe ni Kati ya Nchi 5 Zenye Uchumi mkubwa Barani Afrika ambapo tunatakiwa kutoka nafasi ya 10 tuliyoko Sasa Hadi kufikia nafasi ya 4 na kama.tukishindwa basi tuwe nafasi ya 5.

Tanzania tuna sababu na vigezo vyote vya kufikia nafasi ya 4 Kwa kuanzia na Rasilimali asili zilizopo.

Nafahamu Kila Nchi Ina Mali asili lakini Kwa Tanzania tutakuwa na advantage ya idadi kubwa ya watu.

Kwa Sasa Tanzania ni namba 5 kwa Wingi wa watu hapa Afrika na bila shaka tunaendelea kuwa namba 5 miaka Mingi ijayoa Sasa inatakiwa tutumie Wingi wetu kuwa fursa ya soko na Uchumi Ili tukuze Uchumi wa Nchi yetu.

Kama tumeweza kuingia top 10 Kwa nini tushindwe kuwa namba 4?

View attachment 3174529

Hivyo basi by 2050 ni matumaini yangu kwamba Msimamo wa Ligi ya Uchumi Afrika Mwaka 2050 utakuwa kama ifuatavyo.,

1.Nigeria
2.Egypt
3.Ethiopia
4.Tanzania
5.Algeria
6.South Africa
7.DR Congo
8.Morocco
9.Angola
10..Kenya
11.Ivory Coast
12.Uganda.
Inaonekana Tanzania inafanya vizuri kiuchumi, na pia katika maendeleo ya viwanda, kwa mujibu wa ripoti za World Bank, UN, na UNIDO za mwaka huu. Natamani ifanye vizuri pia kwenye "civic space". Kwenye ripoti ya Desemba mwaka huu mtandao wa CIVICUS Monitor unaiweka Tanzania kwenye kundi la nchi zenye "repressed" civic space. Kila nchi kati ya nchi 198 zilizofanyiwa utafiti zilitathminiwa katika maeneo matano: 1) open civic space, 2) narrowed civic space, 3) obstructed civic space , 4) repressed civic space, and 5) closed civic space. Kwa mujibu wa ripoti hii ya CIVICUS Monitor, Tanzania imekuwa katika kundi hili tangu mwaka 2018. Yaani, kila mwaka kuanzia 2018-2024 Tanzania is rated in the category of "repressed" civic space. Maeneo ambayo CIVICUS Monitor imeyapima kwa nchi 198 duniani ni "freedom of association, freedom of expression, peaceful assembly, and the extent to which the state protects these fundamental rights." Inawezekana kabisa ku'improve' na kuwa katika kundi la nchi zenye "open" civic space. Kwa mwaka huu nchi nne zimeingia kwenye kundi la "open civic space". Nazo ni Japan, Jamaica, Slovenia, na Trinidad and Tobago. Nchi (countries and territories) ambazo mwaka huu ziko rated as having "open civic space" ni Cape Verde, Sao Tome and Principe, Bahamas, Barbados, Canada, Grenada, Jamaica, Saint Lucia, St Kitts and Nevis, St Vincent and The Grenadines, Trinidad and Tobago, Uruguay, Japan, Kiribati, Marshall Islands, Micronesia, New Zealand, Palau, Samoa, Taiwan, and Tuvalu.
 
Hata hao ambao you are aiming kuwafikia average Joe's wao wana nini cha ziada..., achana na kina Kenya, Cote d'Ivoire, Angola au hata ukiamua ukiweka India..., Bado watu wao lukuki kitaa wapo kwenye extreme poverty...,

Hilo ndio tatizo la huu Uchumi wa kina IMF au wa kwenye makaratasi..., What is needed is income (hata kama isipokuwa disposable) ila angalau iongezeke..., Na moja ya kufanya hayo wala sio Rocket Science its within their means kama tu wataamua kusahau matumbo yao for a while...

And if that is done hata uchumi wetu ukiwa kwa mujibu wa kina IMF wa mwisho duniani ila wadau kitaa anagalau watapata milo mitatu
 
Si huwa mnasema akili za kuambiwa changanya na zako, Wastani wa ukuaji uchumi wa 7% ni wa kawaida tu, uchumi China na wa nchi nyingi za Asia kama Vietnam, Korea n.k zilizomaliza umasikini kwa kasi ulikuwa unakuwa hadi kwa tarakimu mbili.
Nimeangalia hapa Vietnam hawajawahi kuwa na Ukuaji Tarakimu mbili na At same time 2005-2015 at best na wao walikua around 7%

China Ana Tarakimu mbili ila huyu ni Exception,

South Korea at same time frame ukuaji mkubwa kabisa ni 5.8% hajawahi fika hio 7%.

So za kuambiwa changanya na zako Ukimaliza Google angalia na data.
 
Tanzania imeandaa Dira Mpya ya Maendeleo ya 2050 ambapo utekelezaji wake utaanza rasmi mwaka 2025/26 baada ya kujadiliwa na kupitishwa na Bunge kabla ya Rais kuidhinisha rasmi.

Kwa Sasa Serikali imezindua rasimu na ambapo zoezi la maboresho linaendelea ikiwemo kutoa maoni.

Sasa Kwa wapanga mipango pamoja na kuweka malengo ya kuwa na GDP ya $ 700bln na per Capita income ya $4700 by 2050 napendekeza pia tuweke kigezo Cha kiushindani na Nchi zingine Ili tuwe tunajipima na wengine.

Tunapoanza utekelezaji wa Hiyo Dira Natamani inapofika mwaka huo au kabla ya mwaka huo basi Tanzania iwe ni Kati ya Nchi 5 Zenye Uchumi mkubwa Barani Afrika ambapo tunatakiwa kutoka nafasi ya 10 tuliyoko Sasa Hadi kufikia nafasi ya 4 na kama.tukishindwa basi tuwe nafasi ya 5.

Tanzania tuna sababu na vigezo vyote vya kufikia nafasi ya 4 Kwa kuanzia na Rasilimali asili zilizopo.

Nafahamu Kila Nchi Ina Mali asili lakini Kwa Tanzania tutakuwa na advantage ya idadi kubwa ya watu.

Kwa Sasa Tanzania ni namba 5 kwa Wingi wa watu hapa Afrika na bila shaka tunaendelea kuwa namba 5 miaka Mingi ijayoa Sasa inatakiwa tutumie Wingi wetu kuwa fursa ya soko na Uchumi Ili tukuze Uchumi wa Nchi yetu.

Kama tumeweza kuingia top 10 Kwa nini tushindwe kuwa namba 4?

View attachment 3174529

Hivyo basi by 2050 ni matumaini yangu kwamba Msimamo wa Ligi ya Uchumi Afrika Mwaka 2050 utakuwa kama ifuatavyo.,

1.Nigeria
2.Egypt
3.Ethiopia
4.Tanzania
5.Algeria
6.South Africa
7.DR Congo
8.Morocco
9.Angola
10..Kenya
11.Ivory Coast
12.Uganda.
Ha ha haa...
 
Upuuzi eti 2050 utakuwepo? Km unawaamini ccm kapimwe akili
 
Nimeangalia hapa Vietnam hawajawahi kuwa na Ukuaji Tarakimu mbili na At same time 2005-2015 at best na wao walikua around 7%

China Ana Tarakimu mbili ila huyu ni Exception,

South Korea at same time frame ukuaji mkubwa kabisa ni 5.8% hajawahi fika hio 7%.

So za kuambiwa changanya na zako Ukimaliza Google angalia na data.
Uchumi wa South Korea ulikuwa kwa tarakimu mbili mfululizo kati ya 1986 hadi 1988, na ulikuwa unakuwa kwa wastani wa 9% kuanzia mwanzo wa miaka ya 1980
 
Wakati wa Mwinyi, toka mwanzo hatuzungumzii huko, kila mtu anafahamu tulikuwa na hali mbaya, Nimeongelea Specific Mkapa Na Kikwete ambao walikuza Uchumi kwa level kubwa mno ambayo ni Above world Average.
 
Uchumi wa South Korea ulikuwa kwa tarakimu mbili mfululizo kati ya 1986 hadi 1988, na ulikuwa unakuwa kwa wastani wa 9% kuanzia mwanzo wa miaka ya 1980
Ndivyo na Tanzania itakuwa Kwa miongo 2 ijayo
 
Nimeangalia hapa Vietnam hawajawahi kuwa na Ukuaji Tarakimu mbili na At same time 2005-2015 at best na wao walikua around 7%

China Ana Tarakimu mbili ila huyu ni Exception,

South Korea at same time frame ukuaji mkubwa kabisa ni 5.8% hajawahi fika hio 7%.

So za kuambiwa changanya na zako Ukimaliza Google angalia na data.
South Korea umebugi,hata hao Vietnam Sina hakika kama wako upper middle Income
 
Mipango sio matumizi issue ni utekelezaji.

Kwa sera na viongozi gani kwanza mlionao wa kuwatimizia hayo?

Kwa aina hii ya viongozi akina Mwigulu Nchemba wasiokuwa na maarifa yoyote Zaid ya kubuni mbinu za kumkandamiza Mwanainchi kupitia matozo yasiokuwa na kichwa Wala miguu, nakuhakikishia hata Angola na Ivory coast hamuwezi kuwapita ng'ooo!!
Na Ile utumie wisely lazima upange.
 
Achana na haya machawa MAPUMBAVVU tu hakuna chochote positive utakachoyaambia kuhusu serikali ya awamu ya Tano yakakuelewa hata uje solid na examples kiasia gani.... Haya yalishaga amua kumdemonize Magufuli tangu siku yalivyopewa ulaji na Sasa hivi yako bize kumpamba bibi tozo kwa Kila analolifanya.

Sote tunajua ni jinsi gani hayati alivyofanya juhudi kubwa kufufua na kuboresha miundo mbinu iliyokuwa imekufa/kudolola ambayo umeleta chachu kwenye ujuaji wa maendeleo ya kiuchumi...

Sasa haya majizi na machawa yako hapo kumsifia Kikwete ambaye alizoea kufuga mafisadi yaliyokuwa yanakwamisha miradi Mingi sana ya kimaendeleo kupelekea ujuaji hafifu wa kiuchumi... Ovyo sana haya
Jadili hoja wewe nyumbu na msukule wa Mwendazake
 
Namba baadae sana ,unaweza ivuka Algeria,South Africa ila sio Nigeria, Egypt na Ethiopia,hao Wana watu wengi.

Nchi zote Zenye watu wengi Duniani ndio zinaongoza Kiuchumi,hata Germany anaongoza Kwa Wingi wa watu Ulaya.
Uongo huo. Hakuna hiyo hiyo kanuni. Singapore Ina population ndogo lakini Ina uchumi mkubwa kuliko zenye watu wengi
 
Huyo Magu ndio mtoe, uchumi ulidumaa sana awamu yake na ndio Kenya iliweka Gap kubwa.

Uchumi ni namba sio hisia ,awamu ya 6 ndio inaziba Gap la awamu ya 5.
Mzee wa matango pori. Hili nalo tango pori
Kenya tulikua nao sawa kabla ya 2005. Wpte tulikua na GDP ya $18bil
Kenya kutoka 2006 hadi 2015 walitoka $18bil mpaka $70bil
Wakati Tanzania 2005 hadi 2015 tulitoka $18bil mpaka $47bil

Kenya kutoka 2016-2021 walitoka $74bil mpaka $109bil
Tanzania kutoka 2016 -2021 tulitoka $47bil mpaka $70bil. So gap walitupiga hapo kwa JK
Screenshot_20241211-204510_1.jpg
Screenshot_20241211-204157_1.jpg
 
ChoiceVariable mzee wa matango pori naona umefuta comment uliyonijibu Vietnam ana gdp kubwa kuliko Singapore😂😂
Huwa unaanzishaga mada ambazo huna uelewa nazo
 
Back
Top Bottom