Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Vitimu mshenzi vinampa CR7 domo. Portugal timu mbovu lakini wanapenya. Naona wataingia Fainali baada ya kumtoa Belgium 3-0 katika semifinal.
 
Hivi Portugal hawana Striker mwengine mbele zaidi ya Fake Ronaldo? ureno kila pasi kwa Ronaldo wabadilike nao.
 
Timu ambayo mpaka sasa haijashinda mechi ndani ya dk 90 ndio ipo Nusu fainali.

Inanikumbusha Ugiriki ya mwaka 2004, walishinda ubingwa kwa mbinu zaidi kuliko ufundi.
Yaaan ndo tuna iongelea sasa hivi ugiriki

Aliitoa timu nzuri ya czech republik ki uongo ungo hiv hiv
 
Back
Top Bottom