Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuna maniac mmoja akaingia uwanjani, alitaka kumsalimu Cristiano Ronaldo.

Pombe mbaya sana.
lol
 
Wapolish naona wako ready kwa penati. Wasipoangalia CR7 atawaliza sekunde yoyote lol.
 
England out, Spain out, nataka Portugal na Italy waunge tela
 
Wapoland kwa penalties ni wabaya. Watapiga madongo tu
 
Pepe kaibeba Portugal Leo. Yeye alikuwa stoper na alikuwa anatoa mapande ya maana kule mbele vile vile.
 
Lewandowski atakosa penati kama Messi. Mwenye kidau aweke shilingi laki moja.
 
Poland ikishinda itakuwa ni timu ya kwanza kushinda kwa penalties mara mbili kwenye michuano hii ya Kombe la Mataofa ya Ulaya.

Wa kwanza Ronaldo na anafunga
 
Back
Top Bottom