Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata staafuThis Ronaldo guy bure kabisa. Sasa sijui anataka nini nafasi ya wazi kabisa ile. Na wakifungwa yeye ndio atakuwa responsable
Ata staafu
URENO WATAJILAUMU SANA KWA NAFASI WALIZOPATA
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nimevunja kikombe cha chai..maana nilijua cr7 anatupia ile ..dahh bure kabisa huyu mreno
nilishasikiaHujawahi kusikia mtu wa kuitwa Shehe Yahaya. Alikuwa tajiri kwa utabiri Tu. Hats Simba na Yanga wanaweza kuwa wateja wako
Asha shinda kila kombe aliloshindania dunianiWakuu Mpo?
Meneja wa Spain Vicente Del Bosque amejuzulu usiku huu.
Sasa ni wakati wa Spain kuwa na meneja mpya na wachezaji wapya.
Waqt wa makocha vijana huu enzi zao zimekwisha.Wakuu Mpo?
Meneja wa Spain Vicente Del Bosque amejuzulu usiku huu.
Sasa ni wakati wa Spain kuwa na meneja mpya na wachezaji wapya.
Wakuu Mpo?
Meneja wa Spain Vicente Del Bosque amejuzulu usiku huu.
Sasa ni wakati wa Spain kuwa na meneja mpya na wachezaji wapya.
Meneja mzee wachezaji kama Xavi, Iniesta ni wa kupumzika sasa.Waqt wa makocha vijana huu enzi zao zimekwisha.
Yule babu alitakiwa aachie ngazi tangu alivyorudi kutoka Brazil, basi tu alitaka kujifanya Mugabe.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwa kweli kacheza vibaya
Sijamuelewa na mimi
Analala mtu kabla ya mikwaju ya penati lolKama vile tutaona mikwaju ya penati