Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

This Ronaldo guy bure kabisa. Sasa sijui anataka nini nafasi ya wazi kabisa ile. Na wakifungwa yeye ndio atakuwa responsable
 
Nimevunja kikombe cha chai..maana nilijua cr7 anatupia ile ..dahh bure kabisa huyu mreno
 
Wakuu Mpo?

Meneja wa Spain Vicente Del Bosque amejuzulu usiku huu.

Sasa ni wakati wa Spain kuwa na meneja mpya na wachezaji wapya.

Del Bosque ambae ana miaka 65 aliiongoza Spain kushinda kombe la dunia mwaka 2010 nchini Afrika Kusini na Euro 2012.

Kiwango cha uchezaji wa timu ya Spain kilionyesha kushuka walipotolewa kwenye hatua za awali kwenye kombe la dunia mwaka 2014 nchini Brazil na sasa kuhitimisha tatizo hilo kwa kutolewa kwenye kundi la 16 na France wiki iliyopita.
 
Wakuu Mpo?

Meneja wa Spain Vicente Del Bosque amejuzulu usiku huu.

Sasa ni wakati wa Spain kuwa na meneja mpya na wachezaji wapya.
Asha shinda kila kombe aliloshindania duniani

Ni legend aka lale sasa kwake
 
Wakuu Mpo?

Meneja wa Spain Vicente Del Bosque amejuzulu usiku huu.

Sasa ni wakati wa Spain kuwa na meneja mpya na wachezaji wapya.

Yule babu alitakiwa aachie ngazi tangu alivyorudi kutoka Brazil, basi tu alitaka kujifanya Mugabe.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Kwa kweli kacheza vibaya
Sijamuelewa na mimi

Nafasi alizopata Cristiano ndio angekuwa kazipata Lewandowski saa hizi tushalala usingizi
 
Hii inaenda kuwa penalties Portugal wanaonekana wanataka kufanya counter attack lakini wamechoka.

Ila Poland bila shaka yoyote ile wanataka penalties.
 
Back
Top Bottom