LOL hata Messi alipiga ya kwanza akaipaisha hadi sayari ya 200Sasa messi natumai kajifunza kwa mwenzie kupiga penalt ya kwanza
Sasa messi natumai kajifunza kwa mwenzie kupiga penalt ya kwanza
Yaaan ndo tuna iongelea sasa hivi ugirikiTimu ambayo mpaka sasa haijashinda mechi ndani ya dk 90 ndio ipo Nusu fainali.
Inanikumbusha Ugiriki ya mwaka 2004, walishinda ubingwa kwa mbinu zaidi kuliko ufundi.