Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Leo tunashinda mapema sana japo nampenda Bale na Wales ila leo watanisamehe leo niko home Belgium
 
Leo tunashinda mapema sana japo nampenda Bale na Wales ila leo watanisamehe leo niko home Belgium


Diables Rouge watacheza possession lakini wasipoangalia wanaweza kupigwa counter attack mbili biashara ikaisha. Wales wanajituma sana pale Kati.
 
Unaota naona, Belgium yakulinganisha na Portugal? Mechi 4 na timu ndogo unashinda 1 kwa penalty Ndio uwaze kombe?
Chuki,husda vitakumaliza taratiibu.timu ndogo labda za ukoo wenu.
 
Mpo hapa au mmeshalala baada ya kupiga box kwa sana?
 
Mwamuzi wa mchezo huu anaitwa Damir Skomina ambae anatoka Slovenia.

Anasaidiwa na waamuzi wa akiba Jure Praprotnik na Robert Vukan, wakati waamuzi waangalizi kila upande ni Matej Jug na Slavko Vincic wote kutoka Slovenia.

Mambo ya Ulaya hayo waamuzi wane!
 
Dah kumsikiliza Robbie Savage anatangaza mpira kama kumsikiliza Michael Owen pia akitangaza Mpira sijui wamepataje kazi ya Utangazaji.
 
Dah kumsikiliza Robbie Savage anatangaza mpira kama kumsikiliza Michael Owen pia akitangaza Mpira sijui wamepataje kazi ya Utangazaji.

Mkuu Savage na Michael Owen sio watangazaji bali ni waelezeaji (Pundits) wakiwasaidia watangazaji wenyewe wa mpira- na wanalipwa kwa kila session kwenye kazi hiyo kwa mkataba maalum.
 
Belgium wana wachezaji ndugu wawili Romelu Lukaku na mdogo wake Jordan Lukaku ambae anacheza kama beki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…