Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Hicho kiduku cha Naiggolan kama ndege flani kule uchaggani anaitwa hondo hondo au (kurang'a)
 
Jack Wilshere atakuwa Analia lia alipo. Unakumbuka alivyosema leading to England vs wales match?
 
Moja ya post zangu nilisema Diables rouges wanaweza kuwa na possession lakini wakapigwa counter attack.
 
Hal Robson Kanu ni mpwa wa Nnwanko Kanu mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Nigeria, Arsenal, Portsmouth na West Bromwich Albion.
 
Back
Top Bottom