Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Tusishangae kuona finali Walles vs IcelandHawa wales wataandika historia km itakavyokuwa kwa iceland
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusishangae kuona finali Walles vs IcelandHawa wales wataandika historia km itakavyokuwa kwa iceland
Moja ya post zangu nilisema Diables rouges wanaweza kuwa na possession lakini wakapigwa counter attack.
Belgium wanajitahidi pamoja kuwa na majeruhi wengi..Bado 25 mnts ngoja tuonehawa mabeki wenye rasta leo uchochoro
Supply chain imekatwa so foward wanaonekana butuBelgium wanajitahidi pamoja kuwa na majeruhi wengi..Bado 25 mnts ngoja tuone
Mpira hauna cha ranking..Wales wapo namba 26 na wanakomaa balaaThe world number 2 in FIFA Rankings Belgium leo wanachezeshwa kwata na vijana wa Wales.
Foward iko vizuri..Wanatakiwa waongeze umakini tu. Beki ndo haijakaa sawaSupply chain imekatwa so foward wanaonekana butu
Mpira hauna cha ranking..Wales wapo namba 26 na wanakomaa balaa
Ngoja tuone..Dakika zilizokwenda ni 76 na kuna dalili za Begium kusawazisha goli.
Ni kweli mkuu..Belgium wako vizuri sana,nnachosemea kwenye mashindano kama haya ranking haitumiki sana. Unaweza ukawa namba moja ukapigwa na namba 20+Lakini mkuu, FIFA ndio wanaweka hivi viwango, hivyo kuna maana yake.