Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Leo tunashinda mapema sana japo nampenda Bale na Wales ila leo watanisamehe leo niko home Belgium
 
Leo tunashinda mapema sana japo nampenda Bale na Wales ila leo watanisamehe leo niko home Belgium

Diables Rouge watacheza possession lakini wasipoangalia wanaweza kupigwa counter attack mbili biashara ikaisha. Wales wanajituma sana pale Kati.
 
2f3f685f3c088b523173326adef85279.jpg
 
Mwamuzi wa mchezo huu anaitwa Damir Skomina ambae anatoka Slovenia.

Anasaidiwa na waamuzi wa akiba Jure Praprotnik na Robert Vukan, wakati waamuzi waangalizi kila upande ni Matej Jug na Slavko Vincic wote kutoka Slovenia.

Mambo ya Ulaya hayo waamuzi wane!
 
Dah kumsikiliza Robbie Savage anatangaza mpira kama kumsikiliza Michael Owen pia akitangaza Mpira sijui wamepataje kazi ya Utangazaji.
 
Dah kumsikiliza Robbie Savage anatangaza mpira kama kumsikiliza Michael Owen pia akitangaza Mpira sijui wamepataje kazi ya Utangazaji.

Mkuu Savage na Michael Owen sio watangazaji bali ni waelezeaji (Pundits) wakiwasaidia watangazaji wenyewe wa mpira- na wanalipwa kwa kila session kwenye kazi hiyo kwa mkataba maalum.
 
Belgium wana wachezaji ndugu wawili Romelu Lukaku na mdogo wake Jordan Lukaku ambae anacheza kama beki.
 
Back
Top Bottom