Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Gameplan ya Wales imevurugwa kwa kasi ya uchezaji ya Belgium.

Wales wanapoteza mipira sana katikati na Aaron Ramsey ndie wa kwanza.
 
Ebana eeh hawa Waingereza wa kuchovya wanaweza kuendelea kufanya maajabu.
 
Wanatangaza Pia mpira Btsports na BBC ukiacha kuwa Pundits.

Yes, wana mikataba na hizo media na wanafanya kozi fupi za kuhusu kufanya kazi kwenye TV.

Ni njia ambayo wenzetu wanatumia kuwaenzi wachezaji wa zamani katika kuleta entertainement zaidi katika Runinga.

Hivyo wote hao wakiongozwa na Garry Lineker, Alan Shearer na wengine wengi tu hasa vijana kama Jermain Jenas wamejifunza kuwa pundits baada ya kuacha kucheza mpira kutokana na kuumia kila mara.

Ukiwa unaufahamu mchezo wowote ule unaweza kuwa pundit provided uwe umefanya vikozi vifupi vya kuwa na nidhamu katika kujieleza kwenye TV.
 
najua hilo ila Thanks kwa elimu nachosema mie kwa Michael Owen na Robie Savage wanauzi hawajui kitu martin Kewon na Jarmain Jenas wakiongea kuhusu mpira wanajua kuelezea sio Savage na Owen na Alan sherrer.
 
Sasa kuna kila dalili za Wales kw
najua hilo ila Thanks kwa elimu nachosema mie kwa Michael Owen na Robie Savage wanauzi hawajui kitu martin Kewon na Jarmain Jenas wakiongea kuhusu mpira wanajua kuelezea sio Savage na Owen na Alan sherrer.

Robie Savage anapenda tu kuonyesha nywele zake na Michael Owen nae ni mjasirimali zaidi kuliko mpira na nafikiri kwa utajiri wake atakuwa anafanya kazi hiyo kama hobby.

Martin Keown ana badge ya UEFA ni skauti na kocha pale Arsenal akifanya part-time, wakati Jermain Jenas ni mchambuzi wa kujitegemea lakini amekuwa BBC kwa muda sasa.

Ni kweli kabisa usemavyo Keown na Jenas ni kati ya wachambuzi wazuri sana wa mpira na hutumia utaalam.
 
Wales wametumia vizuri kupwaya kwa beki wa kulia wa Belgium Delayer ambae Hal Robson Kanu amemusumbua sana.

Hivyo kipindi cha pili bado Kanu ataendelea kumsumbua.

Belgium wamefanya mabadiliko sehemu ya kiungo na wamemtoa Yannick Carrasco na Moruanne Fellaini amechukua nafasi yake.

Kipindi cha pili kimeanza.
 
Lukaku ni bure kabisa,hizo nafasi anazopata jamani hata kufunga moja tu kashindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…