Hawana kocha
Hlf c mbali hapo,hata kwa boda boda dk kadhaa tuBelgium wanarudi kwao,hivi hivi
Hujanijibu mkuu wewe ni KE au ME mana unafwatilia soka sana. Kama ni KE basi big up sana.Naimajine jinsi iceland atakavyomfunga France,maana kante na Rami hawatacheza
Ramsey unamsahau ?Mkuu kocha wanae tena mzur tu angalia wachezaji wao huwez kuwaweka level moja na hao wales una hazard,de bryuine,sijui lukaku wakat wales star ni bale tu
Kombe la Italy au German..
Balayage,kesho ujerumani anafuatia then France,utabiri wako haujafanikiwaBaada ya Croatia sasa ni zamu ya Ubelgiji kuaga katika zile timu 4 nilizozitabiri kufika fainali.
Mkuu uioni kazi anayoifanya joe allen pale kati,au humjui,timu yangu pendwa ya Liverpool cjui ilikuaje hadi wakamuuza kirahisi rahisi hv!Mkuu kocha wanae tena mzur tu angalia wachezaji wao huwez kuwaweka level moja na hao wales una hazard,de bryuine,sijui lukaku wakat wales star ni bale tu
Portugal wameimgia semis kwa bahati sana..Hata akiingia final hachukuiUsimsahau portugal hasomek anakung'ang'ania dakika 90 extra unachomoka
Mkuu kocha wanae tena mzur tu angalia wachezaji wao huwez kuwaweka level moja na hao wales una hazard,de bryuine,sijui lukaku wakat wales star ni bale tu
Mimi ke bwanaHujanijibu mkuu wewe ni KE au ME mana unafwatilia soka sana. Kama ni KE basi big up sana.
Portugal wameimgia semis kwa bahati sana..Hata akiingia final hachukui
Hahaha wanachezea Lille kweli ni mpakani na kwao ,wataondoka usiku huu huuuu,hahhahHlf c mbali hapo,hata kwa boda boda dk kadhaa tu