Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Hawana kocha

Mkuu kocha wanae tena mzur tu angalia wachezaji wao huwez kuwaweka level moja na hao wales una hazard,de bryuine,sijui lukaku wakat wales star ni bale tu
 
This is it.

Wales ready to make History.

Hakuna showboating kwenye michezo kama hii ya Euro Finals.

Well done Wales you have shown England how to play in Wales way.
 
Mkuu kocha wanae tena mzur tu angalia wachezaji wao huwez kuwaweka level moja na hao wales una hazard,de bryuine,sijui lukaku wakat wales star ni bale tu
Mkuu uioni kazi anayoifanya joe allen pale kati,au humjui,timu yangu pendwa ya Liverpool cjui ilikuaje hadi wakamuuza kirahisi rahisi hv!
 
Mkuu kocha wanae tena mzur tu angalia wachezaji wao huwez kuwaweka level moja na hao wales una hazard,de bryuine,sijui lukaku wakat wales star ni bale tu

Naona hujaona kazi anayofanya Joe Allen na Aaron Ramsey
 
Back
Top Bottom