Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

kesho ndo mwanzo wa michuano ya kombe la #EURO taifa lipi lina kikosi bora ambacho kinaweza beba #kombe???
 
Hii ni tough game. Pamoja na kuwa na wachezaji wasiokuwa na majina Romania wapo vizuri. Ni moja ya timu zenye ngome imara. Nategemea upinzani mkubwa sana.
 
Midfield ya France imetulia, N'golo Kante, Paul Pogba na Blaise Matuidi.

Ni ushindi tu kwa France.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…