Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ya mchanganHuu Ni Msimu Wa England Kuchukua Ndoo
amesahaulika nadhaniMkuu ya Girroud wapi na midevu yake
Karata yangu leo kwa Ufaransa.Leo saa 4:00 Usiku
Ufaransa Vs Romania ( Mechi ya Ufunguzi ).
Copa America inaonekana haina mvuto (kibiashara).Yaan badala wawepo kwny copa america wapo euro
Itakuwa live kweli au ni kama za startimes!?azam tv
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Utakaa Kimya Tu Ndugu Yangu, Ngoja Tuchukue Ndoo Ubadilishe Akaunti Humu.Labda ya mchangan
nawapa nafasi wenyeji!!Karata yangu leo kwa Ufaransa.
Live mechi zote kupitia ZBC 2 ndani ya Azam TvItakuwa live kweli au ni kama za startimes!?
Na je, itakuwa mechi zote!?
Hata makundi hawatoboi...team 3 lions
mwaka huu tunachukua ndoo
Hata makundi hawatoboi...
Live mechi zote kupitia ZBC 2 ndani ya Azam Tv
France XI. Lloris, Sagna, Koscielny, Rami, Evra; Kante, Pogba, Matuidi; Payet, Griezmann, Giroud