Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Mkuu kocha wanae tena mzur tu angalia wachezaji wao huwez kuwaweka level moja na hao wales una hazard,de bryuine,sijui lukaku wakat wales star ni bale tu

Kocha unamtoa Carasco anamuingiza Fellaini ?
Hiki kikosi cha Belgium wangekuwa na kocha mzuri wangefanya vizuri sana
 
Kwa mchezaji mmoja mmoja Belgium wako vizuri ila kwa teamwork&teamspirit Wales wako vizuri zaidi mwenye mbinu bora ndo ameshinda...kesho mtapokewa pale brussels airport mkatafute mlipoweka passport zenu...
 
Hawana bahat mkuu hiki kizaz cha kina hazard

Soka kama hujui hujui,hakuna bahati kwenye soka.Unamtoa Carrasco unamuingiza Fellaini then unasingizia bahati ?
 
najua hilo ila Thanks kwa elimu nachosema mie kwa Michael Owen na Robie Savage wanauzi hawajui kitu martin Kewon na Jarmain Jenas wakiongea kuhusu mpira wanajua kuelezea sio Savage na Owen na Alan sherrer.
Kwa kweli owen huwa ana koroma tuu, ana faa awepo sports extra ya mawinguni
 
Hawa Wales katika mechi yao ya semi final wakicheza kama walivyocheza kipindi cha pili basi ni tishio na wanaweza kuingia final. Nitafurahi sana kesho ikiwa Italy watawatoa Germany.

 
Karibuni Lyon mji wa tatu kwa ukubwa nchini Ufaransa.

Pamoja na ofisi mbalimbali muhimu zilizopo katika jiji hili, pia kuna makao makuu ya Interpol shirika la polisi wa kimataifa.
 
Soka kama hujui hujui,hakuna bahati kwenye soka.Unamtoa Carrasco unamuingiza Fellaini then unasingizia bahati ?


Kwa hiyo ubelgiji mpira hawajui? Basi fifa waongo na rank zao za soka kumbe tanzania nafas tuliyopo sio yetu
 
Kocha unamtoa Carasco anamuingiza Fellaini ?
Hiki kikosi cha Belgium wangekuwa na kocha mzuri wangefanya vizuri sana
Ananikumbusha World cup 2006, Argentina Vs Germany, robo fainali ilikuwa, Argentina wakiwa katika nafasi nzuri ya kushinda gemu wakiwa wametawala kila idara ghafla kocha wao anamtoa injinia wa timu, Juan Roman Riquelme, baada ya hapo Ujerumani wanarudi mchezoni na kwenda kushinda matuta.

Waargentina hawajawahi kumsamehe yule kocha kwa Sub mbovu kabisa kuwahi kufanywa katika historia yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…