Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
Hongera sana..Mmeo atakua anenjoy sana mana unampa kampani kipindi hiki cha gamesMimi ke bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana..Mmeo atakua anenjoy sana mana unampa kampani kipindi hiki cha gamesMimi ke bwana
Mkuu kocha wanae tena mzur tu angalia wachezaji wao huwez kuwaweka level moja na hao wales una hazard,de bryuine,sijui lukaku wakat wales star ni bale tu
Naona hujaona kazi anayofanya Joe Allen na Aaron Ramsey
Unaota naona, Belgium yakulinganisha na Portugal? Mechi 4 na timu ndogo unashinda 1 kwa penalty Ndio uwaze kombe?
Kocha unamtoa Carasco anamuingiza Fellaini ?
Hiki kikosi cha Belgium wangekuwa na kocha mzuri wangefanya vizuri sana
Ni kweli mdau..Ngoja tuone mambo yanavyoenda. Ila portugal kiungo na foward hamna kitu.Nafikir unasahau mpira ni bahat muda mwingine, bingwa wa mashindano haya 2004 alikuwa ugirik
Ni kweli mdau..Ngoja tuone mambo yanavyoenda. Ila portugal kiungo na foward hamna kitu.
Acha tu yaani ukitukuta tunaongelea football acha tuHongera sana..Mmeo atakua anenjoy sana mana unampa kampani kipindi hiki cha games
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha wanachezea Lille kweli ni mpakani na kwao ,wataondoka usiku huu huuuu,hahhah
Na kosa kubwa nililofanya ni kuwa-underrate Italy kabla ya michuano kuanza.Balayage,kesho ujerumani anafuatia then France,utabiri wako haujafanikiwa
Hawana bahat mkuu hiki kizaz cha kina hazard
Kwa kweli owen huwa ana koroma tuu, ana faa awepo sports extra ya mawinguninajua hilo ila Thanks kwa elimu nachosema mie kwa Michael Owen na Robie Savage wanauzi hawajui kitu martin Kewon na Jarmain Jenas wakiongea kuhusu mpira wanajua kuelezea sio Savage na Owen na Alan sherrer.
Huwa inatokea timu zinakuja na plan na plan ikivurugwa basi,
Belgium walikuja na game plan ya kucheza kwa kasi saana kipindi cha kwanza na Wales nao wamekuja na game plan ya kumeza mashambulizi ya Belgium halafu kufanya counter attack.
Wales 3 Belgium 1
Soka kama hujui hujui,hakuna bahati kwenye soka.Unamtoa Carrasco unamuingiza Fellaini then unasingizia bahati ?
Ananikumbusha World cup 2006, Argentina Vs Germany, robo fainali ilikuwa, Argentina wakiwa katika nafasi nzuri ya kushinda gemu wakiwa wametawala kila idara ghafla kocha wao anamtoa injinia wa timu, Juan Roman Riquelme, baada ya hapo Ujerumani wanarudi mchezoni na kwenda kushinda matuta.Kocha unamtoa Carasco anamuingiza Fellaini ?
Hiki kikosi cha Belgium wangekuwa na kocha mzuri wangefanya vizuri sana
Raha sana kwa kweli..HongereniAcha tu yaani ukitukuta tunaongelea football acha tu
Wazuri wa sura au uzuri upi ?