Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
Lazima wafurahi..Ndo mara ya kwanza kuingia nusu fainali ya uero. Hawakutegemea kufika hukoNatizama TV Mashabiki wa Wales kwenye viwanja vya nchini kwao Watu wanarushiana Maji Maji ya Beer juu ila sio mtu Kurusha simu yake tehtehteh! mtu anaweza kushangilia akaachia Glass ila sio Smartphone.
Haya bana kumbe tz tunaweza kuwa juu ya nigeria na ghana au ivory cost tunafanyiwa figisu figisu
[emoji3] [emoji3]Weka akiba ya maneno [emoji2]
We kweli humpendi ronaldo, yaan mpaka hapo alipo fika balon d or ni ya cr7Ghafla Wales kabeba Euro 2016.
Je Fifa watampa Gareth Bale Ballon D'ior?
Maana atakuwa ameipa taji timu ya taifa na klabu pia kaipa taji la ligi ya mabingwa.
Haya bana kumbe tz tunaweza kuwa juu ya nigeria na ghana au ivory cost tunafanyiwa figisu figisu
Mpira utakuwa mgumu, wataenda etra time na ndipo Wales wata itwa walexitJumatano usiku itakuwa ni usiku wa mgongano wa galasticos wawili Gareth Bale na Cristiano Ronaldo.
Lazima Lyon ichimbike.
Wazuri wa vipaji... lakini hawafiki popote. Unapodhani watafanya vizuri ndipo wanapovuruga.
Kuna mahali nimetaja figusu ?
Kwa Ulaya ukiacha Ufaransa na Ujerumani kwa sasa
Belgium wana talented players kuliko timu nyingi lakini wanakosa kocha wa kutengeneza timu ya ushindani.Kuna nchi hazina talented players lakini makocha wametengeneza timu za ushindani (Italy,Wales,Iceland,Croatia)
Belgium watafute kocha kutoka Italy,Germany au Holland atengeneze timu kabla hawa wachezaji hawajazeeka
Ni kweli kabisa mkuu, na hili tatizo wanalo pia Holland ingawa wamekuwa na mameneja wazuri kam Gus Hiddink na LVG.
Ila kwa Belgium ni special case kwasababu hawajawahi kuwa na wachezaji wa kiwango cha juu kabisa ukilinganisha na Germany au France ambao wamecheza kwenye fainali bila kuwa majeruhi.
Lakini wana academy nzuri sana hasa pale Anderlecht walipotoka Lukaku na Hazard na wengine.
Kocha wao wa sasa Wilmots ni kocha mzurio na ndie aliewawezesha Belgium kucheza hii Euro 2016 baada ya WC 2014.
Tungoje tuone Euro 2020 itakayofanyika Belgium kama nchi hiyo itakuwa imefikia kiwango gani cha uchezaji .
Mpaka sasa bale kashaingia top 3Ghafla Wales kabeba Euro 2016.
Je Fifa watampa Gareth Bale Ballon D'ior?
Maana atakuwa ameipa taji timu ya taifa na klabu pia kaipa taji la ligi ya mabingwa.
Leo hakutabirikiToka enzi na enzi...rekodi zinaibeba zaidi Italy kuliko Ujerumani.
Wanapokutana kwenye Robo au Nusu iwe Euro au World Cup, Ujerumani hufungwa.
Je leo wataweza kugeuza historia?
Italy vs German..Timu gani unaipa nafasi leo.
Leo pagumuuuu.
Ni kweki mdau..Ila German nao idara zote zimekamilika.Italy wakicheza kama walivyocheza mechi za nyuma basi ni lazima wawapige hawa Wajerumani at least kwa 2-0. Italy wanacheza kwa determination kubwa sana na pia wanacheza mpira ambao washabiki wengi tunaupenda, attacking football.