Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Sasa Wako nusu fainali unasema hawafiki popote. SMDH.
LOL nilikuwa nazungumzia Belgium. Kama Belgium wapo nusu fainali basi nilikosea. Ushauri: kabla ya ku-quote ungefuatilia stori ilipoanzia.
 
leo bwana namshangilia mkoloni tu, hao wataliano wala siwataki
 
LOL nilikuwa nazungumzia Belgium. Kama Belgium wapo nusu fainali basi nilikosea. Ushauri: kabla ya ku-quote ungefuatilia stori ilipoanzia.

Man Mimi niliongelea Wales, wewe ndio ukaniquote kusema hawafiki popote. Tena post yangu ilikuwa baada ya Belgium wameshatolewa.Sasa unasubiri mpaka Leo ndio unakija na argument kivingine. Acha niangalie game bhana!
 
Mpira unachezwa Bordeaux. Kitu cha kufurahisha sasa ni football tu, watu wa misifa England na Russia sasa tushawasahau teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…