Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Unaona hapa. Semifinal, Portugal anapigwa na Wales. Game ya leo I don't care anyone can win. Kesho France wanatolewa na Iceland na kitakachofuatia kwenye semi nyingine Dunia itasimama.

13533123_1257122174312540_7270224869750617999_n.jpg
Wales ndo kaishia hapo alipofika
 
Sasa Wako nusu fainali unasema hawafiki popote. SMDH.
LOL nilikuwa nazungumzia Belgium. Kama Belgium wapo nusu fainali basi nilikosea. Ushauri: kabla ya ku-quote ungefuatilia stori ilipoanzia.
 
leo bwana namshangilia mkoloni tu, hao wataliano wala siwataki
 
LOL nilikuwa nazungumzia Belgium. Kama Belgium wapo nusu fainali basi nilikosea. Ushauri: kabla ya ku-quote ungefuatilia stori ilipoanzia.

Man Mimi niliongelea Wales, wewe ndio ukaniquote kusema hawafiki popote. Tena post yangu ilikuwa baada ya Belgium wameshatolewa.Sasa unasubiri mpaka Leo ndio unakija na argument kivingine. Acha niangalie game bhana!
 
Mpira unachezwa Bordeaux. Kitu cha kufurahisha sasa ni football tu, watu wa misifa England na Russia sasa tushawasahau teh teh teh
 
Back
Top Bottom