Msafirishaji
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,693
- 2,641
Huu usemi umenikumbusha mwaka 2014,wakati wa kupigiana penalties,Katavi ,Heaven on Earth na wengine mliokuwepo 2014 mpo wapi jamani?Wale wa kubana pu..mb kazi kwenu sasa
Wanakuja!!!Huu usemi umenikumbusha mwaka 2014,wakati wa kupigiana penalties,Katavi ,Heaven on Earth na wengine mliokuwepo 2014 mpo wapi jamani?
Leo tuna watoa hatimayeWalete walete walete! Enjoy the game Guys.
#TeamItaly
Pamoja chama la wahuniWalete walete walete! Enjoy the game Guys.
#TeamItaly
Good. nilitaka kuweka vitu clear. Come on Wakoloni come on Ozil...Okay, achana na hiyo habari imeshapita tangu Jana. Tucheki game ya Leo. Enjoy the football
Kumbe umejificha humuDaaaah
Tushatoa mkosi hapa
Japo wamekataa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kumbe umejificha humu
Iceland ni underdogs kama walivyo wales..Bingwa ni kati ya hizi timu zinazocheza saivi.Bado naamini #Wales wana nafasi ya kuchukua licha ni underdogs sababu wapo upande mzuri kwa sababu wanakutana na one man team Portugal then wakishinda Final who knows other side of final itakuwa ajabu wakikutana na vibonde iceland
Jimena wapiiiii[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahaha
Eeeh naondoa stress hapa
Vwana quigley
Yupo bhana nme mwacha mda huu ni concentrate na futbol apaJimena wapiiiii