Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

PAGAN nilianzia hapa, then Belo akaniuliza "wazuri kwa sura...." Nikamjibu kwa quote uliyoni-quote .. Fuatilia vizuri utakuwa umenichanganya na mtu mwingine....

Okay, achana na hiyo habari imeshapita tangu Jana. Tucheki game ya Leo. Enjoy the football
 
Siku hizi kila timu inacheza defensive game
 
Bado naamini #Wales wana nafasi ya kuchukua licha ni underdogs sababu wapo upande mzuri kwa sababu wanakutana na one man team Portugal then wakishinda Final who knows other side of final itakuwa ajabu wakikutana na vibonde iceland
 
Iceland ni underdogs kama walivyo wales..Bingwa ni kati ya hizi timu zinazocheza saivi.
 
Back
Top Bottom