Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Imagine game ilipofikia halafu mtoto mzuriii anakuambia baby please tukalae siwezi lala mwenyewe. Utaenda au utamalizia
 
CmY6LoVWAAAuRpj.jpg
 
umeona eeeh,yaani wamesahau kama mechi ya kwanza kabisa kwenye makundi Boateng aliwaokoa sana,yaani aliokoa goal la wazi kabisa
Ndugu ukifanya mazuri 99 halafu uka maliza na baya moja
Umefuta mazuri 99 autimaticaly
 
umeona eeeh,yaani wamesahau kama mechi ya kwanza kabisa kwenye makundi Boateng aliwaokoa sana,yaani aliokoa goal la wazi kabisa

Watu huwa wanakubadilikia kwenye masuala kama haya ya penalties.
 
mkuu humwoni mjerumani anavyohaha apate bao ndani ya hizi dakika zilizobak? anajua akifka matuta habar imeisha. na mrumi anachofanya anambembeleza jamaa aende matuta akamchinjilie mbali, hahaha #mpira techniq
Penalty hazina mwenyewe waqt mwingine wacha tusubiri kama watafika huko.
 
refa alitaka kuleta madhara kwa ujerumani
 
Matuta hayana mwenyewe lakini my sixth sense inaniambia Germany out.
 
Back
Top Bottom