Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
Imagine game ilipofikia halafu mtoto mzuriii anakuambia baby please tukalae siwezi lala mwenyewe. Utaenda au utamalizia
Ndugu ukifanya mazuri 99 halafu uka maliza na baya mojaumeona eeeh,yaani wamesahau kama mechi ya kwanza kabisa kwenye makundi Boateng aliwaokoa sana,yaani aliokoa goal la wazi kabisa
umeona eeeh,yaani wamesahau kama mechi ya kwanza kabisa kwenye makundi Boateng aliwaokoa sana,yaani aliokoa goal la wazi kabisa
hahaha nabeba na kideo naingia nacho chumbaniImagine game ilipofikia halafu mtoto mzuriii anakuambia baby please tukalae siwezi lala mwenyewe. Utaenda au utamalizia
Mtoto hataki sauti wala mwanga wa TV...hahaha nabeba na kideo naingia nacho chumbani
Penalty hazina mwenyewe waqt mwingine wacha tusubiri kama watafika huko.mkuu humwoni mjerumani anavyohaha apate bao ndani ya hizi dakika zilizobak? anajua akifka matuta habar imeisha. na mrumi anachofanya anambembeleza jamaa aende matuta akamchinjilie mbali, hahaha #mpira techniq
Chiellini anatoka na Zaza anaingia.