Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

wanaume wako hoi. usicheze na one twenty
 
Mjerumani hajawahi kumfunga Mtaliano dk 90 ila Penalt hawajawahi kukutana ila Mjerumani History ya Penalt wanaongoza tuombe leo washindwe Penalt! Mjerumani ni Mfalme wa Penalt.
 
Nafikiri Italy watapita na Buffon ataokoa angalau penalty moja au mbili.
 
Reactions: BAK
Buffon anaweza kuibuka shujaa wa Italy kwa kuokoa penalty mbili.
 
namwona buffon anapga sala ya malaika mlinzi hahaha.
 
I wish Italy to win the game. Wajerumani wana WC hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…