Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Hahaaaaa pole sana uwe unafata ushauri wangu kushangilia timu [emoji41] [emoji41]France wananifuta machozi Leo maana hawa Iceland walitutoa hahaha
Hahah ingawa Jana nilipenda Germany atoke hata kwa goli la mkonoHahaaaaa pole sana uwe unafata ushauri wangu kushangilia timu [emoji41] [emoji41]
Hahaaaa saa hii wanajilaumu hasa ukizingatia ilikuwa free transferNa kama akifunga zaidi basi "price tag" yake itabadilishwa.
Paul Pogba, Kart Zouma na Samuel Umtiti walicheza football ya uhakika mwaka 2013 France ilipokuja kunyakua kombe la Euro 2013 kwa vijana chini ya miaka 20.
Mzee AF alikosea sana kumtoa pale OT wakti ule, ooops! Herera asije akaona hii.
France ndiyo mabingwa nilitabiri toka siku ya ufunguzi.
Sijaelewa wafaransa wana maoni gani juu ya timu yao maanake kati ya wachezaji 23 wale 12 ni wenye asili ya Afrika.
Kuhusu ubingwa bado wana kazi ya kufanya..Wanakutana na German semj final,pagumu sana hapo. Nawapenda France lakini kiukweli German wako vizuriFrance ndiyo mabingwa nilitabiri toka siku ya ufunguzi.
Sijaelewa wafaransa wana maoni gani juu ya timu yao maanake kati ya wachezaji 23 wale 12 ni wenye asili ya Afrika.
Teeeehe teeeehe tungetoka kama the magic Zaza angepata penati [emoji41] [emoji41] [emoji14] [emoji12]Hahah ingawa Jana nilipenda Germany atoke hata kwa goli la mkono
Kuna wachezaji wanapiga penati nahisi hadi wanajishangaaTeeeehe teeeehe tungetoka kama the magic Zaza angepata penati [emoji41] [emoji41] [emoji14] [emoji12]