Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

i remember world cup ya 1998 kule #France game ya mwsho #Romania vs #Tunisia hatua ya makundi Wachezaji wote wa Romani Waliweka #Nywele dawa(bleach boy) wanavituko sana hawa jamaa nackia washachapwa kamoja
 
Romania wamefanya mabadiliko na wamemtoa mshambuliaji Andone na nafasi yake imechukuliwa na David Alibec
 
Penaaaalt kwa Romania

Na mwamuzi Victor Kassai anaetoka Hungary hakupoteza wakati

Stancuuu anafunga! Goooooooo

1-1
 
Pamoja kuwa na wachezaji wengi wazuri imekuwaje Evra na Sagna wako kikosi cha kwanza cha Ufaransa ?
 
Huyu evra na girouuud kuna mmoja leo atalambwa red hapa
 
Ufaransa Hawa hawawezi kuchukua hili kombe japo linachezwa nyumbani kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…