Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

France walianza vizur, ghafla mambo yanaanza kuwageukia kadri mda unavyokwenda!! Wakiwaruhusi hawa Wakoloni wacheze hiv basi wajue safar imewadia
 
Hawa wajerumani watapigwa counter attack mbili na mpira umeisha nyi subirini tu. Msiangalie mpira upande mmoja
 
ufaransa achieni goli mpumzike. hiyo ni moja ya mbinu wakat unashambuliwa sana
 
Germany imejaa wazungu huku France imejaa Waafrika
Unategemea nini [emoji23]
 
Hawa wajerumani watapigwa counter attack mbili na mpira umeisha nyi subirini tu. Msiangalie mpira upande mmoja
France waonekana wanasubiri ili wapige counter, ila kwa hali inavyoendelea sasa, watajikuta wamezidiwa totally!! maana hata kiungo chenyew wamezidiwa!!
Sioni France wakiwazuia Ujerumani kuwafunga!!
 
Wachezaji wenye asili ya kiafrika wanaocheza ndani ufaransa ni wangapi?
 
Geroud angemuona mwenzake France sasa hivi angeongoza Beki ameokoa si mchezo ile France wakiweza kupata upenyo mzuri anafunga! Kante ndio kiini cha kuzuia na kuipa France nafasi.
 
France waonekana wanasubiri ili wapige counter, ila kwa hali inavyoendelea sasa, watajikuta wamezidiwa totally!! maana hata kiungo chenyew wamezidiwa!!
Sioni France wakiwazuia Ujerumani kuwafunga!!

Maneno yangu nusura yatimie sema huyu Giroud bure kabisa. Miguu mizito kama kafunga mawe
 
Watu wanaona Mjerumani kaonewa ila Jamaa anajua nini kafanya ndomana alivyoanguka alitaka kujifanya kaumia kichwa! ile ni Penalt kabisa toa Mkoloni.

Sio penati mkuu. Shweini hajaunawa ule mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…