Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,502
- 6,049
France walianza vizur, ghafla mambo yanaanza kuwageukia kadri mda unavyokwenda!! Wakiwaruhusi hawa Wakoloni wacheze hiv basi wajue safar imewadia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
France waonekana wanasubiri ili wapige counter, ila kwa hali inavyoendelea sasa, watajikuta wamezidiwa totally!! maana hata kiungo chenyew wamezidiwa!!Hawa wajerumani watapigwa counter attack mbili na mpira umeisha nyi subirini tu. Msiangalie mpira upande mmoja
Kosa kubwa sana kumweka benchi,Deschamps anafikiri Germany ni sawa na IcelandKante popote alipo anahitajika kuwanusuru Wafaransa.
France waonekana wanasubiri ili wapige counter, ila kwa hali inavyoendelea sasa, watajikuta wamezidiwa totally!! maana hata kiungo chenyew wamezidiwa!!
Sioni France wakiwazuia Ujerumani kuwafunga!!
Hahaha..., Jamaa ni mzito kweli kweli, ila wamepata penalty Mkuu!!Maneno yangu nusura yatimie sema huyu Giroud bure kabisa. Miguu mizito kama kafunga mawe
Watu wanaona Mjerumani kaonewa ila Jamaa anajua nini kafanya ndomana alivyoanguka alitaka kujifanya kaumia kichwa! ile ni Penalt kabisa toa Mkoloni.