Siamini ila football inapokwenda zinaweza kutolewa kama A Carrol alikuwa £35m sitoshangaa ila Pogba naweka £55-70m ila lazima uhakikishe pepembeni una players wa maana Man U kwa watu kama Makhatarian wanauwezo wakutoa pesa hizo ingekuwa hawana wachezaji wazuri ingekuwa unapoteza pesa tu.Pazi unaamini Pogba ana thamani ya £100M?
Sterling 49
Luiz/Tores 50
KDB. 55
Di Maria 60
Bale 86
Mwenzako aliandika hivi Afrika vs Iceland alijiwa juu na Wafaransa weusi kama ni mbaguzi sasa sijui wewe itakuwaje? coach au Player wa iceland alipost kama hivyo.Afrika vs Germany
Tumeshinda leo [emoji28][emoji28][emoji28]
Huyo Muller ndio jipu kuu huko ndani, afadhali hao wengine!!Hahahahaha hakuna cha Ozil, hakuna cha Muller wala Kroos
Siamini ila football inapokwenda zinaweza kutolewa kama A Carrol alikuwa £35m sitoshangaa ila Pogba naweka £55-70m ila lazima uhakikishe pepembeni una players wa maana Man U kwa watu kama Makhatarian wanauwezo wakutoa pesa hizo ingekuwa hawana wachezaji wazuri ingekuwa unapoteza pesa tu.
Nimekosa pesa Rahisi leo ilikuwa France to win ni 5/1 na Grizmann kufunga kwenye dk 90 france to win ni 9/1 dah.
Ndomana Timu hasa EPL ukiacha kuwa ngumu kushinda kombe Players hawana machungu ya Kombe mishahara imewafanya wakinai ndio football ilipoharibikia imebaki moyo wa Manager mzuri kuwafanya wawe na uchungu wa Kombe.Market ya sasa imekuwa hovyo. Crystal Palace wenyewe walimpandia Michy Batshuayi kwa £32 alizonunuliwa Sanchez miaka 3 iliyopita. Kweli pesa (£100M) zinaweza kutolewa.
Tunasubiri kwa hamuCr7 vs Griezmann