Siamini ila football inapokwenda zinaweza kutolewa kama A Carrol alikuwa £35m sitoshangaa ila Pogba naweka £55-70m ila lazima uhakikishe pepembeni una players wa maana Man U kwa watu kama Makhatarian wanauwezo wakutoa pesa hizo ingekuwa hawana wachezaji wazuri ingekuwa unapoteza pesa tu.Pazi unaamini Pogba ana thamani ya £100M?