Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Pazi unaamini Pogba ana thamani ya £100M?
Siamini ila football inapokwenda zinaweza kutolewa kama A Carrol alikuwa £35m sitoshangaa ila Pogba naweka £55-70m ila lazima uhakikishe pepembeni una players wa maana Man U kwa watu kama Makhatarian wanauwezo wakutoa pesa hizo ingekuwa hawana wachezaji wazuri ingekuwa unapoteza pesa tu.
 
Sterling 49
Luiz/Tores 50
KDB. 55
Di Maria 60
Bale 86

Nimesoma vyombo vya habari vimeandika Man United wanataka kutoa £117M ambayo ni sawa na €200M. Na watamlipa mshahara wa €12M annually.
 
Afrika vs Germany
Tumeshinda leo [emoji28][emoji28][emoji28]
Mwenzako aliandika hivi Afrika vs Iceland alijiwa juu na Wafaransa weusi kama ni mbaguzi sasa sijui wewe itakuwaje? coach au Player wa iceland alipost kama hivyo.
 
Siamini ila football inapokwenda zinaweza kutolewa kama A Carrol alikuwa £35m sitoshangaa ila Pogba naweka £55-70m ila lazima uhakikishe pepembeni una players wa maana Man U kwa watu kama Makhatarian wanauwezo wakutoa pesa hizo ingekuwa hawana wachezaji wazuri ingekuwa unapoteza pesa tu.

Market ya sasa imekuwa hovyo. Crystal Palace wenyewe walimpandia Michy Batshuayi kwa £32 alizonunuliwa Sanchez miaka 3 iliyopita. Kweli pesa (£100M) zinaweza kutolewa.
 
Nyani kafa leo... Kilichobaki tusubiri mwezi ujao EPL....
 
Market ya sasa imekuwa hovyo. Crystal Palace wenyewe walimpandia Michy Batshuayi kwa £32 alizonunuliwa Sanchez miaka 3 iliyopita. Kweli pesa (£100M) zinaweza kutolewa.
Ndomana Timu hasa EPL ukiacha kuwa ngumu kushinda kombe Players hawana machungu ya Kombe mishahara imewafanya wakinai ndio football ilipoharibikia imebaki moyo wa Manager mzuri kuwafanya wawe na uchungu wa Kombe.
 
Back
Top Bottom