Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Nimesoma vyombo vya habari vimeandika Man United wanataka kutoa £117M ambayo ni sawa na €200M. Na watamlipa mshahara wa €12M annually.

Ni €120m sawa na £100
 
Pazi na rubaman poleni sana naona timu yenu imetolewa

Najua sasa mtahamia Portugal

Hahaha nilikuwa sina timu leo. Nimezishangilia zote from day 1. Ila Germany ilikuwa namba 1 kwangu. Hii ingekuwa ni fainali ingekuwa poa. Anyway, sitoshangaa kuona Portugal wakilibeba. France defence haiaminiki...leo wapo vizuri kesho wanatoa magoli.
 
Soft penati ndio iliyowapa nguvu France.. lakini ndio mpira ulivyo.


Wamecheza kwa nguvu dakika zote 90 au ukuona walivuoanza game. Dakika ya 15 mpaka 30 wajerumani walishambulia mkaona ile ndio game, no. Germany walikuwa na possession kwasababu France wanacheza defensive game na hiyo ndio trending football 2016. Mlikuwa mnaangalia mashati meupe tu lakini France deserved to win the game. Griezmann peke yake kapiga 7 shots on target, then what more do you want?
 
Hahaha nilikuwa sina timu leo. Nimezishangilia zote from day 1. Ila Germany ilikuwa namba 1 kwangu. Hii ingekuwa ni fainali ingekuwa poa. Anyway, sitoshangaa kuona Portugal wakilibeba. France defence haiaminiki...leo wapo vizuri kesho wanatoa magoli.

Ila mpira hauna heshima Germany atafungwaje na France hii

Portugal anaweza kushinda kombe hili
 
Historia lazima iendelee.....hatujawah andaa michuano nchini mwetu france na kombe likachukuliwa na mwingine
 

Mkuu kabla ya penati ilikuwa nothing but Germany. Penati ilibadili sura ya mpira hilo lipo dhahiri. Kipindi cha pili ni kweli ilikuwa majority ni France attacking wise, wali create deadly chances kuliko Germany..Isingekuwa penati sura ya mpira ingekuwa tofauti. kipindi cha pili ilibidi waje kusaka goli hivyo kuwa exposed nyuma na kila dakika zilivyokwenda bila kusawazisha emotions zikapanda...
 
Hisia nyingi sana mkuu

Uhalisia ni kuwa penalt ile ya kia ajab ajab ime badilisha gem

Ila baada ya hapo ufaransa walicheza vizuri

Ika zile dakika wana zidiwa haikuwa mbinu ilikuwa ni kuzidiwa kabisa kabsa
 
Mark Clattenburg akipewa kuwa refa Final sitizami mpira jamaa anavigezo gani hata haya Mashindano anapewa nafasi? na yule refa wa Man U mwembamba? bora Michael Oliver.
 
Ila mpira hauna heshima Germany atafungwaje na France hii

Portugal anaweza kushinda kombe hili

Portugal anaweza kushinda hili kombe. Ingawaje hawajacheza vizuri tokea mwanzo timu yao inaweza kuforce draw ikabeba kwa penati.Hawa France nyuma sio wazuri kihivyo wanaweza kwenda usingizini CR7 akawagonga kwa vichwa.
 
Germany
German
Germ
Ger
Ge
G
Gr
Grie
Griez
Griezm
Griezma
Griezman
Griezmann
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…