Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
France chama leo limenitoa kimasomaso..German chaliiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuiga na kwenyew inaruhusiwa Mkuu, mwenye utamaduni wake utamjua tu!!Kwa hiyo hii style ya kushangilia imekuwa ni ya Europe nzima? Nilidhani ni staili ya ICELAND VIKINGS tu...
Nimesoma vyombo vya habari vimeandika Man United wanataka kutoa £117M ambayo ni sawa na €200M. Na watamlipa mshahara wa €12M annually.
Soft penati ndio iliyowapa nguvu France.. lakini ndio mpira ulivyo.
Mie sio Mjerumani hata kidogo hata France siifagilii Bora Ureno itabidi tu.
Mkuu this is football..Timu kubwa zikikutana chochote kinatokea.Nimekuwa shabiki wa ujerumani muda mrefu na hii ni kama nusu fainali ya 5 hvi tuna tolewa
Itakuwa game nzuri I hopeTunasubiri kwa hamu
Mie sio Mjerumani hata kidogo hata France siifagilii Bora Ureno itabidi tu.
Hahaha nilikuwa sina timu leo. Nimezishangilia zote from day 1. Ila Germany ilikuwa namba 1 kwangu. Hii ingekuwa ni fainali ingekuwa poa. Anyway, sitoshangaa kuona Portugal wakilibeba. France defence haiaminiki...leo wapo vizuri kesho wanatoa magoli.
Wamecheza kwa nguvu dakika zote 90 au ukuona walivuoanza game. Dakika ya 15 mpaka 30 wajerumani walishambulia mkaona ile ndio game, no. Germany walikuwa na possession kwasababu France wanacheza defensive game na hiyo ndio trending football 2016. Mlikuwa mnaangalia mashati meupe tu lakini France deserved to win the game. Griezmann peke yake kapiga 7 shots on target, then what more do you want?
Hisia nyingi sana mkuuWamecheza kwa nguvu dakika zote 90 au ukuona walivuoanza game. Dakika ya 15 mpaka 30 wajerumani walishambulia mkaona ile ndio game, no. Germany walikuwa na possession kwasababu France wanacheza defensive game na hiyo ndio trending football 2016. Mlikuwa mnaangalia mashati meupe tu lakini France deserved to win the game. Griezmann peke yake kapiga 7 shots on target, then what more do you want?
nitashangiliaje timu ya Rubaman na Piers Morgan? basi Final sishangilii timu nitakuwa Refa.Nilijua tuu wewe ni bendera yafuata upepo
Unashangilia Portugal kwa sababu ya CR7
Ila mpira hauna heshima Germany atafungwaje na France hii
Portugal anaweza kushinda kombe hili