Umri wa mabeki wa France wanaoshiriki Euro Evra (35 ) Sagna (33) Koscienly(30) Rami (30) Jallet (32)
Ufaransa sio sawa na Tanzania kuna vijana kina Samuel Umtiti,Lucas Digne wanapigwa benchi,Evra alicheza timu mmoja na kina Anelka,Henry,Gallas,Malouda
Wachezaji kama Zidane,Scholes,Maldini wakirudi uwanjani leo viwango vyao bado viko juuYaani hata Zidane bila kustaafu mwenyewe mpaka Leo angekuwa anacheza timu ya taifa. Teh teh teh
Tupo pamoja katika hili.team 3 lions
mwaka huu tunachukua ndoo
Rumania tatizo kiwango. East Europe mpira umekufa kabisa
Hata hivo tumefungwa kwa taabu sanaMkuu, Romania ni nchi maskini sana haina uwezo mkubwa wa kukuza vipaji vya mpira kama wa nchi za Germany au Spain.
Duh....Mkuu, Romania ni nchi maskini sana haina uwezo mkubwa wa kukuza vipaji vya mpira kama wa nchi za Germany au Spain.
wamgemchukua #kunywaTupo pamoja katika hili.
Ukongwe nao unasaidia...Umri wa mabeki wa France wanaoshiriki Euro Evra (35 ) Sagna (33) Koscienly(30) Rami (30) Jallet (32)
Ufaransa sio sawa na Tanzania kuna vijana kina Samuel Umtiti,Lucas Digne wanapigwa benchi,Evra alicheza timu mmoja na kina Anelka,Henry,Gallas,Malouda
Man of the matchPayeeeeeeeeeet 2-1
Special Goal!!
Dimitri Payet ametoa pasi iliyosababisha goli la kwanza na safari hii anafunga special goal
France 2 Romania 1
It's as simple as that.