Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Mussolin5 tunakushukuru kwa kuanzisha hii Page ila na uhakika wengi wetu hatukuchagua Ureno toka mwanzo ukianza kuanika utabiri wa watu humu si chini ya watu 3 wamepatia?? mie sikumuhesabu kabisa Ureno pia nimo.
Nilikuwa team Germany
Mimi nilidiriki kusema wakivuka makundi watakuwa wamefika mbali

Timu ya Mungu skutegemea, though am happy
 
Halafu walimpeleka lille ufaransa kwa mkopo nahisi swansea watamrudisha fasta
 
Yaani huyu mnyamwezi kuna moja alinipigia ya hatari nikasema kichaa huyu atatuliza aiiii hata dakika 3 hazijaisha akaniliza kweli,big up mnyamwezi.....

Wareno wanapenda sana samaki yule aitae Chewa yaani Cod wao wanamwita kwa kireno Bacalhau.

Huyu samaki anapikwa na mchuzi mzito, viazi na baadae unaweka vitu kama carrots na chuzi linakuwa zito halafu unakuwa na mayai ya kuchemsha.

Halafu wana mchuzi mwingine mzito wanauita Cozido a Portuguesa ambao unajumuisha nguruwe, ng'mbe au kuku.

Ukila haya majambos na Ugali wa mahindi au chele la nguvu, hutakosa nguvu la kupiga shuti kama hilo lililopigwa na Eder.

Lol
 
Deschamps ajilaumu mwenyewe, alikuwa na kikosi cha dhahabu,Ufaransa ilikamilika idara zote,Kocha hakuwa na mbinu mbadala ya kuikabili Portugal baada ya kipindi cha kwanza.

Hakuwa na Foward mkali zaidi ya Green Man, lakini alikuwa na Viungo wa kubadilika na kuwa Forward.

Konte alistahili kuwemo Leo, Martial alitakiwA kuwa sub ya Mapema kusaidiana na Grezman,Geroud hakuwa msaada kwa timu,Pogba hakutumika ipasavyo.

All is well Congratulations Portugal
 
[emoji5] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji5] tuko pamoja. Ila mwanzilishi wa hii thread amekula kona fasta. Tukutane pre season Bayern Munich na Man city jumatano..
Hahahaha
Sasa na wewe leo ndo utatusumbua na utabiri wako
Ntakutafuta na ligi zikianza bas
 
Yupo kwa mkopo labda wamuuze leo mkuu
On 23 April 2016, Éder played the full 90 minutes in the final of the Coupe de la Ligue, which ended in a 1–2 loss to Paris Saint-Germain FC.[24] On 24 May, after helping his team finish fifth and qualify to the UEFA Europa League, he signed a permanent four-year contract.
 
Thiery Henry anadai kwamba kuruhusu timu zilizoshika nafasi ya tatu kwenda kwenye last 16 ndiko kumeharibu mashindano.

Anasema Portugal walikuwa wakifahamu kwamba wakitoa sare tatu tu basi wanaweza kufika kwenye last 16.

na timu ambazo zilicheza kwa bidii kama Albania na Iceland wakajikuta wanaishia kwenye hatua za mwanzo na last 16.

Yaani anamaanisha kwamba Portugal wametumia ujanja kufika robo fainali!

je wadau mnaonaje hii hoja ya Thiery Henry ?
 
Ooh sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…