Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kushindwa ni kushindwa hata ukigomea matokeo[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kawaida lakini, asiyekubali kushindwa...........
Nilikuwa team GermanyMussolin5 tunakushukuru kwa kuanzisha hii Page ila na uhakika wengi wetu hatukuchagua Ureno toka mwanzo ukianza kuanika utabiri wa watu humu si chini ya watu 3 wamepatia?? mie sikumuhesabu kabisa Ureno pia nimo.
Kunyanyua kwapa sio mchezo kuna kitu kaongeza penye chumba chake cha zawadi.Chezea ushindi wewe hata mm ningekuwa kocha kwa muda.
Hahaha nights too. It is well with my soulKushindwa ni kushindwa hata ukigomea matokeo[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Love this game
Good night... rude girl
Halafu walimpeleka lille ufaransa kwa mkopo nahisi swansea watamrudisha fastaHuyu Eder anachezea timu ya Swansea City ya Wales.
Lakini kuna siku Swansea walifungwa na timu ndogo ya Oxford City na kutolewa kwenye kombe la Carling Cup na wapenzi wa Swansea City wakamsema sana jamaa.
Lakini leo si umeona jamaa akitumia vizuri ugali anaokula?
Kachukua mpira na Koscielyn kashindwa kumdhibiti na akawa kama amepukutwa (kwa kiingereza "to shake off") hivi na mara chuma!
Duuh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niliwaambia mtapoteana humu. Na niliweka mkeka Portugal atashinda moja bila...
Yaani huyu mnyamwezi kuna moja alinipigia ya hatari nikasema kichaa huyu atatuliza aiiii hata dakika 3 hazijaisha akaniliza kweli,big up mnyamwezi.....
Washamuuza tayariHalafu walimpeleka lille ufaransa kwa mkopo nahisi swansea watamrudisha fasta
Halafu walimpeleka lille ufaransa kwa mkopo nahisi swansea watamrudisha fasta
Hongera zako nikatika wachache. ulichagua Portugal mapema. wengine wote tumedandia behewa kwenda Kigoma.Team Germany
Team Italy
Team Portugal
Yupo kwa mkopo labda wamuuze leo mkuuWashamuuza tayari
Hahahaha[emoji5] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji5] tuko pamoja. Ila mwanzilishi wa hii thread amekula kona fasta. Tukutane pre season Bayern Munich na Man city jumatano..
Portugal kawa bingwa sasa unasemaje?Hongera zako nikatika wachache. ulichagua Portugal mapema. wengine wote tumedandia behewa kwenda Kigoma.
On 23 April 2016, Éder played the full 90 minutes in the final of the Coupe de la Ligue, which ended in a 1–2 loss to Paris Saint-Germain FC.[24] On 24 May, after helping his team finish fifth and qualify to the UEFA Europa League, he signed a permanent four-year contract.Yupo kwa mkopo labda wamuuze leo mkuu
Ooh sawaOn 23 April 2016, Éder played the full 90 minutes in the final of the Coupe de la Ligue, which ended in a 1–2 loss to Paris Saint-Germain FC.[24] On 24 May, after helping his team finish fifth and qualify to the UEFA Europa League, he signed a permanent four-year contract.