Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Pamoja na hayo moto utawaka tunaanza leo na vishoka.wamgemchukua #kunywa
maji#drinkwater ingekua afadhali tatzo nao kama Tz timu ya #magazeti
Go EnglandMechi za leo:
Uswizi Vs Albania saa 10 jioni
Wales Vs Slovakia saa 1 jioni
England Vs Russia saa 4 Usiku.
Pia heading tunaomba ibadilike iwe Euro 2016. JamiiForumsMods unganisheni thread hii na ile nyingine ya " Euro 2016 updates " iwe moja. Michuano inaanza kesho
cc JamiiForums Moderator Invisible Paw
#Uingereza timu ya #magazetiPamoja na hayo moto utawaka tunaanza leo na vishoka.
Mkuu unashangilia hii timu ya modeling promotion kwa kumaanisha ama utani?Go England
Timu ya Arsenal ni ya kupigania hilo kombe la UEFA sio kuwa wasindikizaji siku hizi hata hilo la England wamekuwa wasindikizaji,Mimi timu zangu ulaya ni Ujerumani na ItaliaSasa Mkuu Yale Madeni Ulikuwa Huyaoni?!. Ulikuwa Mpango Wa Muda Mrefu Ule Wew Unafikiri Ilikiwa Safari Ya Kutoka Post Ti Tegeta?!.
Mimi Sio Ganaz Ni Man Utd Pure Lakn Nawasifu Arsenal Coz Usajili Wao Ni Wakaiwada Sana Miaka Yote Lakn Wanaingia UEFA Sio Wew Liverpul[emoji85] [emoji134] Japo Msimu Nanyi Mtakuja Poa Sana Co Klopp Kocha Mzuri.
Mkuu Nakwambia Kweli, England Nethelands, France, Wako Poa Sana.
Wew Unatupa Karata Yako Wapi?! Sema Mkuu Mbona [emoji87]
Kiongozi Msimu Huu England Wako Poa, Utanambia. Hata Arsenal Next Season HutaaminiTimu ya Arsenal ni ya kupigania hilo kombe la UEFA sio kuwa wasindikizaji siku hizi hata hilo la England wamekuwa wasindikizaji,Mimi timu zangu ulaya ni Ujerumani na Italia
Nimeangalia England tangu 1996 miaka inavyozidi kwenda ndio timu inakuwa mbovu,sidhani kama watavuka robo fainaliKiongozi Msimu Huu England Wako Poa, Utanambia. Hata Arsenal Next Season Hutaamini
We Ngoja Utanikimbia Humu Mkuu Siku England Anafika FainaliMkuu sijui tuko pamoja kweli humu au sijui inakuwaje, maana hao the Nertherlands unaodai Wako sawa wameshindwa hata kuingiza timu kwenye zile fainali. Sasa wana timu nzuri kivipi? France kila mtu kaona ile game Yao sio ya kuchukua kombe. Rumania wameshindwa kujipanga Tu. Uingereza tunawajua Ni wazee wa promo Tu. Timu za Portugal, Ujerumani na Belgium ndio zenye kiwango we unawadharau? Spain pia, wana uwezo wa kubadilisha game uwanjani kwahiyo don't underestimate the tik tak.
Sawa Bana Mi Sitaki Tubishane Lakn Itakubali Tu Na Utanitafuta Unipe Zawadi.Nimeangalia England tangu 1996 miaka inavyozidi kwenda ndio timu inakuwa mbovu,sidhani kama watavuka robo fainali
Acha kuwadharau EnglandMkuu unashangilia hii timu ya modeling promotion kwa kumaanisha ama utani?
Anaye idharau A lbania HAJUI SOKAMechi za leo:
Uswizi Vs Albania saa 10 jioni
Wales Vs Slovakia saa 1 jioni
England Vs Russia saa 4 Usiku.
Anaye idharau A lbania HAJUI SOKA
Keeper ni Etrish Berisha wa Lazio ya Italy
Pembeni kama kawaida Elysed Elshaj(Napoli),Naser Halij(Basel),Loric Can(Nantes) na Frederic Vesel(Lugano)
Kati likely akaanza Taulant Xaka(Basel),Burim Kukeri(Zurich),Armir Abrash(Freisburg) na Ledjan Memushaj(Pescara).
Pale mbele akasimama kama kawaida Bekim Balaj na Shklezen Gosh wa Colorado
Albania is real deal!Team to watch!Tukutane saa moja inayofuatia na Uswis wasijidanganye kama watamfunga Albania easy!Utapigwa mwingi sana leo
True ila mie England na Italy miaka yote ila nakubaliana na England timu ya gazeti kama Taifa stars na England kama ilikuwa ishinde ni rnzi zile wana kina Scholes,Rio, SG kina Sol Xambel ila kipindi kile, England ile nzuri ila tatizo walikuwa hakuna umoja waliweka club zao mbele football kuelewana kwa pamoja, humu utawaona wenye timu 6 kila inayotolewa utasikia mie sasa hii hehehe so naganda na England na Italy na ndama zangu itakuwa Albania na Wales.Timu ya Arsenal ni ya kupigania hilo kombe la UEFA sio kuwa wasindikizaji siku hizi hata hilo la England wamekuwa wasindikizaji,Mimi timu zangu ulaya ni Ujerumani na Italia