Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Jerome Boateng ( Germany) Vs Kevin Prince Boateng ( Ghana ) world cup 2010
 
Jerome Boateng ( Germany) Vs Kevin Prince Boateng ( Ghana ) world cup 2010

Sawasawa kabisa.

Ila hawa walikimbilia Switzerland na wazazi wao wakati wa vita Kosovo.

Kosovo ipo karibu kabisa na Switzerland na wachezaji 10 wa Albania wanaoshiriki hii Euro 2016 wamezaliwa na kukulia Switzerland.

Pia wachezaji sita kati ya 23 wa Switzerland wana family links Albania.

Taulant Xhaka alishindwa kupita kwenye youth system pale Basel na ndio akaamua kurudi kwao kuchezea Albania.
 
Albania hawapo tayari kukubali kushindwa wanacheza kwa kujituma.

Ila Switzerland wametawala sehemu ya kiungo wakiongozwa na Granit Xhaka.
 
Good save kutoka kwa kipa wa Switzerland anapangua shuti kutoka kwa mshambuliaji wa Albania.

Kiatu kimeanza kutembea kidogokidogo.

Dakika inakwenda ya 33
 
Mpira ni mapumziko na Switzerland wanaongoza kwa goli 1

NI mara ya kwanza kwa Albania kucheza katika fainali hizi hivyo uzoefu hawana bado hasa kwa kukubali gili la kwanza ambalo walifungwa kutokana na makosa ya beki na kipa wote kutoka gilini na kuufuata mpira.

Pia kutolewa beki wao wa kutumainiwa Loric Cana ambae amepewa kadi mbili za njano na kuwa nyekundu.

Beki huyo alicheza rafu ya kwanza bila kujali athari yake endapo atapata kadi ingine ya njano pale alipoamua kuushika mpira kuuzuia asichukuliwe na mshambuliaji wa Switzerland Seferovic.
 
Dakika inakwenda ya 60

Bado Switzerland bado inaongoza kwa goli 1

Albania wanamudu vema mashambuizi ya Switzerland
 
Albania wanafanya mabadiliko Taulant Xhaka anatoka na nafasi yake inachukuliwa na Ergic Kace na Switzerland nao Admir Mehmed anatoka na Breel Embolo nachukua nafasi yake.
 
Mara ya mwisho England kufika fainali ilikuwa 96 enzo za kina Shearer. Ni miaka 20 sasa, haya tusubiri tuone mechi yao ya kwanza

England inatarajiwa kucheza mtindo unaitwa Diamond ambapo kunakuwa na wachezaji wanne nyuma watatu katikati na watatu mbele.

Hivyo Rooney, Deli Ali na Adam Lallana watakuwa wakishirikiana vema na Hary Kane, Raheem Streling kule mbele.



Ila Russia nao wana wachezaji wenye uzoefu mkubwa lakini wakiwa wazee kama mapacha wawili Aleksei na Vasiliy wenye umri wa miaka 33 na kiungo Sergei Ignashevich mwenye umri wa miaka 36.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…