Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
- #361
Jerome Boateng ( Germany) Vs Kevin Prince Boateng ( Ghana ) world cup 2010Kama hufahamu katika mechi hii kuna mtu na kaka yake Taulant Xhaka (mkubwa) na Granit Xhaka (mdogo).
Ni mara ya kwanza kuona ndugu wawili wakichezea mataifa tofauti.
Kwa sili wote wanatoka Abani lakini Granit ana uraia wa Switzerland ambao ameupata kupitia mke wake.
Granit Xhaka amesajiliwa na Arsenal kwa pauni milioni 35.